Pre GE2025 Mbeya: Wananchi Wajazana kusoma Bango la Utekaji kwenye maonesho ya Nanenane

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu mbona unataka kututoa kwenye reli? Lisu katuambia rushwa ya uchaguzi inakitafuna chama; hiyo ndiyo ajenda tunajadili sasa hivi.
 
abduli ndiyo nani ?
 
..utekaji hauwezi kufanyika bila Mwenyekiti wa Ccm kuubariki.

..Na utekaji upo kwasababu Ccm wanaamini unawasaidia.
Ukiona kiongozi wa chama tawala anatoa matamshi yenye uvundo akijinasibu kujua kuteka lakini mwenyekiti wake akikaa kimya bila kukemea ujue ni mkakati wa chama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…