Mbeya: Wananchi washangilia kuondolewa RC Chalamila , ofa za vinywaji zamwagwa kama mchanga

Mnaona Wahuni wenu wanavyochukiwa
ufdup.png
 
Hao wote kesho utasikia wapo ndani na aliyefanya hiyo tafrija hakuomba kibari kwahiyo atatiwa ndani kwa kosa la kuhatarisha usalama wa wengine kwa kufanya shughuli bila kibari.

Kosa jingine nikushawishi na kutoa taarifa ya uchochezi ya uongo kusema OUT wakati bado IN
 
Sijui inakuwaje hadi wananchi wanachekelea kung'olewa kwa kiongozi ?
 
Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.

Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.

# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
 
mbona naona kama Chalamila kaula kutoka Mbeya na kupelekwa Mwanza
 
Back
Top Bottom