Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

lukosi umejitoa ufahamu atukulaumu ila tuna kuombea tu angalia chanzo cha tatizo ni utendaji mbovu sana wa serikali yako ya CCM NDIO MAANA mtoa mada amekuwa muwazi kila kukicha huko morogoro ni vita kati ya wafugaji na wakulima
 

unatakiwa uwe mirembe
 
Pole kwa Wakazi wa Mbeya....Hili sio tatizo la Chama fulani bali ni tatizo letu sisi Watanzania wenyewe.....
 
Hali hii sio ya kuachwa iendelee......mauaji ya aina yoyote ile ni jambo la kusikitisha na kuleta simanzi kubwa.....
Nimeumia sana tena sana......naunga mkono mabadiliko nchini ila siungi,sitaunga na sijawahi kuunga mkono mauaji ya aina yoyote ile kwa raia!
 
na kot mistar katka bible wababa wasiuawe kwa ajili ya dhambi za watoto wao wala watoto wasiuawe kwa ajili ya zambi za baba zao kila m2 atalichukua furushi lake mwenyewe
in short wamekosea na hata kama duniani hawatajulika wana kesi ya kujibu mbele ya mungu kwani watoto wataulizwa from quran kwa dhambi gani mmeuliwa hawatakuwa na jibu
 
serikali kuweni makini, binadam akibadilika haangali nani amemuuzi ye anafanya lolote tu
 
Katika hili hawakutenda haki kabisa. Wasiokuwa na hatia ndo wauwawe??? Na walaaniwe
 
Suala la kuuawa kwa watoto wadogo CCM au CHADEMA mnawaingizaje mapema hivi hapa? Wakati bado hakuna taarifa ya kueleweka toka kwa Polisi juu ya mauaji hayo yametokea kwa sababu gani;ACHENI UJINGA ILI MPATE KUISHI KWA AMANI.
EEE Mungu utuokoe na uhayawani wa kumwaga damu kwa jamii yetu.
 
Marehemu NESTA MARLEY{BOB}....aliwahi kutamka kwamba"BILA HAKI,AMANI HAMNA}....sasa iwapo kuna wa2 wanafikiri wanaweza kufanya chochote kwa kuwa wameiweka serikali pamoja na taasisi zake mikononi,hiyo imekula kwao mazima...jana sio leo,na kesho kamwe haiwezi kuwa leo........!!!:cool2:
 
Huko ndiko chadema wanakotupeleka

Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya

NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.

PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa

Inabidi urudishwe Mirembe haraka sana kabla ............. la sivyo watashindwa kukutibu huko mbeleni!!
 
Hii siyo sababu ya kumwaga damu zisizo nahatia. Kwanini wauaji wasimuue yeye diwani zulumati kama kule Mwanza? Walichokifanya ni uendawazimu wa kitelebani kuua watelebani wenzao wasio na hatia badala ya wamarekani wavamizi.
 
Hawa viumbe wana kosa gani? Hawa ni Malaika hawapaswi kupewa adhabu kwa kosa la mwingine... Huu ni unyama uliovuka mipaka...
 
Huu ni ushenzi hao watoto wamekosa nini?
 
Huko ndiko chadema wanakotupeleka

Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya

NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.

PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa

Unadhani hiyo ndio dawa? hakuna amani bila HAKI kutendeka.na bado subirini kiama chenu mizigo kama hakutakuwa na UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA,hakika mtajibeba na mtambue kuwa tumechoka kuburuzwa na hicho chama chenu cha MIZIGO! She3nzzzz tayipu
 
Hii ni kweli lakini chanzo hakija julikana maana huyu jamaa ni rafiki yangu saaana japo tuhuma za ardhi zipo lakini haijajulikana kama wameuawa kaajili ya hilo . nimejaribu kumpigia lakini hapatikani nitwawapa majibu swadabta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…