MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Huu ujinga sio wa kuuchekea. Hawa wapumbavu wanaofanya hivi wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja. Matukio haya ni mageni nchini kwetu. Tuyakemee kwa nguvu zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sishabikii kifo wala mauaji lakini kwa haya yanayowatokea hawa wanachama wa CCM inawezekana kabisa ni malipo kwani pale watoto wadogo walipouawa kwa bomu pale Soweto Arusha inwezekana watu kama hawa walilishabikia tukio lile na kuona kama wale watoto walijitakia na wao hawakujua ya mbele. Poleni sana wafiwa ni vema sasa tukajifunza kuishi kibinaadamu zaidi
Unadhani hiyo ndio dawa? hakuna amani bila HAKI kutendeka.na bado subirini kiama chenu mizigo kama hakutakuwa na UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA,hakika mtajibeba na mtambue kuwa tumechoka kuburuzwa na hicho chama chenu cha MIZIGO! She3nzzzz tayipu
Huko ndiko chadema wanakotupeleka
Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya
NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.
PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa
Usiwe mjinga Tunduma inaingiaje hapa, au humfahamu Diwani wa Tunduma.Uwezo wako wa kufikili ni mdogo sana, huwezi kuleta siasa ktk mauaji ambayo wauaji hawajulikani. Au sababu ulizozitoa umepewa na HAP wauaji, ama wewe pia unahusika? Tafakali. Tuachie Tunduma yeti.
Huu ujinga sio wa kuuchekea. Hawa wapumbavu wanaofanya hivi wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja. Matukio haya ni mageni nchini kwetu. Tuyakemee kwa nguvu zote.
Mkuu Idawa...Usiwe mjinga Tunduma inaingiaje hapa, au humfahamu Diwani wa Tunduma.
Swala limetokea Kata ya Mkingamo na diwani ni wa ccm, Tunduma Diwani ni wa Chadema.
Ungekua na akili kidogo ungeshauri serikali yako sikivu iliangalie upya swala la migogoro ya ardhi.
Hivyo usisahau Mahakama ndio chanzo cha yote haya....ukiangalia migogoro mingi inasababishwa na mahakama kuminya haki za wanyonge.
Kwa pamoja tukemee upindishaji wa haki za wanyonge kwenye mahakama zetu.!!
Mkuu @Balatanda nashukuru kwa mwongozo wako.!!
Huko ndiko chadema wanakotupeleka
Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya
NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.
PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa