Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani

Ifike mahali uwe na akili kidogo Chris Lukosi. Hakuna mtu awezaze kufurahia mauaji ya watoto kama hayo yakinyama bora wangepambana na mwizi wao wakafanya kama ilivyotokea kwa MABINA.
 
Wee mbulumundu tu kama viongozi wako

Mshukuru niliacha upolisi, sidhanai kama bado ningekuwa jeshini wengi mngekuwa mnafanya upuuzi kama huu.

Nilikuwa sicheki na mhalifu, na siku ukiona meno yangu ujue nataka kukuuma sio kukuchekea...,,,, kenge wee!

Nikweli tunashukuru kwakufukuzwa ndani ya jeshi la polisi kutokana na tabia za ujambazi ulizokua nazo. Kwanza mali zetu ziko salama kwasasa.
 
aiseee babayangu sasa hapa chadema wanahusikaje unataka kusema mbeya yote hakuna wafuhasi wa c c m embu acheni ujinga na tuache polisi wafanye kazi yao
 
Eeeeeeeeeee MUNGU TUSAIDIE,Badala ya kutafuta dawa ya haya matatizo mnaanza malumbano yasiyo na kichwa wala mguu.Inahusu nini wewe kuwa Polisi?Kufuta Chadema?.Huoni huo uhai wa hawa watoto waliokufa katika mazingira tatanishi?.Mungu tusaidie tuwe na ufahamu na hekima
 
Wee mbulumundu tu kama viongozi wako

Mshukuru niliacha upolisi, sidhanai kama bado ningekuwa jeshini wengi mngekuwa mnafanya upuuzi kama huu.

Nilikuwa sicheki na mhalifu, na siku ukiona meno yangu ujue nataka kukuuma sio kukuchekea...,,,, kenge wee!

Eti "niliacha upolisi" sema "ULITIMULIWA" , kwa nini hupendi kusema ukweli mbulumundu !??
 
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.

Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.

Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.
unaonekana kama unafurahia vile. watoto hao wasio na hatia wanahusika vipi. halafu unaweka na ushabiki wa kivyama. kwa kweli nakuona kama taahira kufurahia upumbavu huu. so sad kwa watoto wasio na hatia. masikini.
 
Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani

Umekua mwili akili ndogo! hapo kwenye hii story ya kusikitisha Chadema inaingiaje?
 
Wee mbulumundu tu kama viongozi wako

Mshukuru niliacha upolisi, sidhanai kama bado ningekuwa jeshini wengi mngekuwa mnafanya upuuzi kama huu.

Nilikuwa sicheki na mhalifu, na siku ukiona meno yangu ujue nataka kukuuma sio kukuchekea...,,,, kenge wee!

Wewe si ulifukuzwa kwasababu ya ujinja uliokuwa unafanya!
 
Hili jambo si jema tunatakiwa kulizibiti. Lakini pia tukibaliane kwamba kuwa kiongozi wa ccm si ndo kupewa uhalali wa kuwa juu ya sheria.viongozi tifuate sheria. Why viongozi wa ccm tu
 
What a ----!!
Wala hawaja fanya vizuri ni dhambi kubwa na wote walio husika kuuwa lazima watakufa kwa kuuwawa,
 
Hii tabia ya kuchukua maamuzi mikononi mwa watu ina waathiri wengi wasio na hatia kwa makosa yasiowahusu.
 
Umekua mwili akili ndogo! hapo kwenye hii story ya kusikitisha Chadema inaingiaje?
Kwa polisi hapa uchunguzi ni rahisi sana

Waende kwenye tawi la karibu la chadema na kusomba wote, lazima watapata washitakiwa tu
 
Wee mbulumundu tu kama viongozi wako

Mshukuru niliacha upolisi, sidhanai kama bado ningekuwa jeshini wengi mngekuwa mnafanya upuuzi kama huu.

Nilikuwa sicheki na mhalifu, na siku ukiona meno yangu ujue nataka kukuuma sio kukuchekea...,,,, kenge wee!

Umesomeka kwa nguvu ya tano.maana ukicheka na pimbi atakudharau sana.
 
Una uhakika gani ni CHADEMA ndiyo wamechinja?

Ninalaani sana kuuawa kwa Watoto wasio na hatia. Hata Mafia huwa wanapinga sana kuuwa Watoto na Wanawake.

Wangelimvizia na kumkata Mikono yake au Miguu na kumpa chongo ya jicho moja.

Ila wanasema, Don't blame the Player, blame the game.

Sisi tunasema VITA HAINA MACHO.

RIP watoto mliobeba Msalaba wa Baba yenu muovu aliyedhurumu watu kama Chris Lukosi alivyodhurumu Rambirambi za Mwangosi aliyeuawa na POLISI ambao yeye anajivunia, mbele ya watu na waandishi wa habari mchana kweupee.

Hapo juu, rafiki zake Lukosi wakiwa Kazini kuwadhibiti Chadema. Lukosi is Proud of them. Ndiyo maana hata Rambirambi hagoma kuzifikisha.
Msitumie misiba ya watu kama mtaji wa kisiasa,

Kuweka picha hizi hapa ni kuwatonesha wafiwa, hivi kwa nini mnapenda kufanya hivi? angekuwa baba yako ndio aliuawa hivi ungependa kuona picha yake inauzwa mitaani kama hivi?

JITAMBUE KENGE WEE!
 
Back
Top Bottom