Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Wameua viumbe visivyo na hatia....si jambo jema sana!!

I hate this name called Chris lukosi
Hivi huwa huna cha kuandika au unaandikaandika kama mvuta bangi aliyeokota chaki akienda chooni...shame on you!!! Huwa najaribu kuwaza kuwa hivi ni lazima uongelee chama flani hata katika jambo lisilotakiwa kuhusisha chama?? Hivi kichwa chako kina tofauti gani na kiumbe kama PAKA,MBWA etc sorry nimekuwa nikisoma utumbo wako daaah
....
 
Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani

Hatari ni hao waliogeuza mahakama kuwa zao na kupindisha sheria kila uchao kwa manufaa yao
 
Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.

Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani
wewe mbona umekua na chuki kubwa sana na chadema hebu tuambie tatizo lako nini hasa?!!!!!!wewe ulifikiri kuingia chadema utapata chochote, ulitaka chadema ndio ikutoe usilale sebuleni kwa dada yako.
 
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.

Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.

Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.

Mungu azilaze Mahala pesa peponi bt huyo diwani achukuliwe hata mana kasaidia kutokea kwa mauaji ya watoto hao
alafu viongozi wa ccm kwanini wasiwe wanajifunza kutoka kwa viongozi wenzao wa CHADEMA
 
Msitumie misiba ya watu kama mtaji wa kisiasa,

Kuweka picha hizi hapa ni kuwatonesha wafiwa, hivi kwa nini mnapenda kufanya hivi? angekuwa baba yako ndio aliuawa hivi ungependa kuona picha yake inauzwa mitaani kama hivi?

JITAMBUE KENGE WEE!

Picha zitawakumbusha watawala kusimamia haki, tumechoka kusikia mauaji kila siku na hatua hazichukuliwi! Anzia kwa Ulimboka, Mwangosi, Kibanda, Mvungi n.k
 
Tumekuwa jamii ya hovyo sasa, hakuna ustaarabu kabisa na utu. Haya mauaji yanayoendelea yanatutofautisha vipi na jamii ya wanyama wa mwituni? Leo simba kaua swala kesho fisi kaua mbwa mwitu. It's a big shame!
Kweli kabisa tumekuwa jamii ya hovyo jamii yenye ubinafsi uliopindukia, jamii ambayo watu wanajijali wenyewe tu! kila kipande cha ardhi wanataka kiwe cha kwao, hata kama si cha kwao wanafikiri wana haki ya kuchukua kutoka kwa mtu yoyete, jamii ambayo imejitengenezea mifumo ya kuwadhulumu wanyonge watu wasio na nyazifa zozote sherikalini au katiak siasa.

Hapo ndipo tumefikia!
 
Huko ndiko chadema wanakotupeleka

Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya

NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.

PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa

Tunajua ndio sera zenu za chama cha mapinduzi kupiga na kuua ,sheria mmetutungia sisi wanyonge tunawashukuru sana na tumewasikia na tutaamua wenyewe.
 
furaha yenu....kuchinja watoto...kweli sasa naanza kusadiki maneno ya nchi haita tawalika ....tunaanza kuona machinjio yetu yame fika..na watoto wetu hawana tena amani.....kwani wenye uchu wa ikulu walishatamka haita tawalika mpaka wapishwe wao ikulu

Umejuaje kuwa ni chadema??? Jenga hoja na si lawama, unadhihirisha wazi kuwa unatumika vibaya sana kuliko hata toilet mkuu

Wewe ------ kweli
 
Mod Tunakuomba muanzishe policy ya ku vet articles zilizo na headings za uchochezi kwa jamii. kama hii, La kuuliza ni kwa nini janga linapomtokea mtu au familia yake kuna watu humu jamvini wanakimbilia kuleta huo uzi ukiwa na political affiliations za mhusika. Ingekuwa kitendo hiki kimemtokea mwananchi wakawaida tusingelisika hapa JF.

Juzi aliuawa mtu huko mwanza aliyekuwa katibu wa ccm wa zamani, tukaletewa uzi ukiwa na heading ikisema incumbent party head, na hali hana cheo hicho. Wengine huja na uchochezi wa kidini.

Ndugu zangu napenda kuwashauri ya kuwa sisi wa africa hatuuani kwa siasa hata siku moja bali tunauana kwa mambo ya kijinga kama Udini na Ukabila, hebu tuangalie yanayotokea huko Africa ya Kati na Sudan ya kusini, Jee hiyo ua ua ama chinja chinja inamfaidia nini mwafrika. Jee Tanzania yetu inastahili fitina kama hizo ?

Huyu aliyeleta huu uzi anastahili Ban, kwa namna alivyouelekeza uzi wake, huu ni uchochezi wa hali ya juu, hao walio kwenda kwauwa viumbe visivyo na hatia, wanastahili kifungo na kupelekwa mahakamani, na kama walifanya hivyo kwa sababbu wamedhulumiwa, basi kesi yao ishughuliiwe na haki itendeke.

Hapa kwetu Hakuna chama chochote kile kinacho mtuma mwanachama wake kudhulum wananchi, viongozi wa vyama wanatakiwa kuwa na mifani mizuri na itokeapo kuna baadhi yao wanafanya madhambi basi hizo ni nia zao mbaya na haimaanishi ni chama chake ndicho chenye dhambi.
 
Siungi mkono mchezo wa kujichukulia sheria mkonononi, wanaosababisha mbegu hii mbaya ni viongozi magamba yaliyokula na kuvimbiwa tena bila kunawa, kupitia madirishani badala ya milangoni na kutegemea vya kunyonga kila siku. sasa jamii imeambukizwa ustaarabu wa mwituni na kidogokidogo watanzania wanaanza kuwa kama wanyama, Mungu tuepushe na balaa hili gamba
 
Mungu wangu , jamani wameuawa watu wasio na hatia , wasiojua chochote kinachoendelea/ kinachofanywa na wakubwa wao. Eeee Mwenyezi Mungu tuhurumie. R.I.P watoto waliouawa.
 
Kwa kweli hatua waliochukuwa hao watu si sahihi wanapaswa kulaaniwa, sasa huyo diwani mwenyewe wamemkosaje jamani? huyo ndiyo ilibidi akumbane na kadhia hiyo
 
Wamekosea sana hakika!
naomba warudi tena wakmtafute huyo Diwani na wamlazie Tu, na apigwe tu nasema!
yani na hao watoto R.I.P na huyo Diwani R.I.H
 
Back
Top Bottom