Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Makamanda wa CHADEMA jifunzeni kuweka tofauti za kiitikadi pembeni linapokuja suala la msiba.
ccm itende haki kwa wananchi la sivyo twaenda kubaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamanda wa CHADEMA jifunzeni kuweka tofauti za kiitikadi pembeni linapokuja suala la msiba.
Wameua viumbe visivyo na hatia....si jambo jema sana!!
Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.
Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani
wewe mbona umekua na chuki kubwa sana na chadema hebu tuambie tatizo lako nini hasa?!!!!!!wewe ulifikiri kuingia chadema utapata chochote, ulitaka chadema ndio ikutoe usilale sebuleni kwa dada yako.Hao wanaongozwa na nguvu za shetani, sawa tu na mleta post anaye3andika kwa kufurahia.
Chadema ni chama hatari kwa usalama wetu, haya mambo hayakuwepo zamani
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.
Msitumie misiba ya watu kama mtaji wa kisiasa,
Kuweka picha hizi hapa ni kuwatonesha wafiwa, hivi kwa nini mnapenda kufanya hivi? angekuwa baba yako ndio aliuawa hivi ungependa kuona picha yake inauzwa mitaani kama hivi?
JITAMBUE KENGE WEE!
Kweli kabisa tumekuwa jamii ya hovyo jamii yenye ubinafsi uliopindukia, jamii ambayo watu wanajijali wenyewe tu! kila kipande cha ardhi wanataka kiwe cha kwao, hata kama si cha kwao wanafikiri wana haki ya kuchukua kutoka kwa mtu yoyete, jamii ambayo imejitengenezea mifumo ya kuwadhulumu wanyonge watu wasio na nyazifa zozote sherikalini au katiak siasa.Tumekuwa jamii ya hovyo sasa, hakuna ustaarabu kabisa na utu. Haya mauaji yanayoendelea yanatutofautisha vipi na jamii ya wanyama wa mwituni? Leo simba kaua swala kesho fisi kaua mbwa mwitu. It's a big shame!
Huko ndiko chadema wanakotupeleka
Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya
NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.
PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa
furaha yenu....kuchinja watoto...kweli sasa naanza kusadiki maneno ya nchi haita tawalika ....tunaanza kuona machinjio yetu yame fika..na watoto wetu hawana tena amani.....kwani wenye uchu wa ikulu walishatamka haita tawalika mpaka wapishwe wao ikulu
Umejuaje kuwa ni chadema??? Jenga hoja na si lawama, unadhihirisha wazi kuwa unatumika vibaya sana kuliko hata toilet mkuu