Mbeya wapi wanauza nguo za kike grade A mtumba

Mbeya wapi wanauza nguo za kike grade A mtumba

Kiddoleey

New Member
Joined
Apr 17, 2021
Posts
3
Reaction score
2
nahitaji nguo za kike nzuri za mtumba grade A naomba mnisaidie mlioko mbeya napataje na soko gani
 
nahitaji nguo za kike nzuri za mtumba grade A naomba mnisaidie mlioko mbeya napataje na soko gani
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...
Nina bidhaa za nguo za
emoji158.png
jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla..
Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store bei poa kabisa usiwe na shaka
 
Back
Top Bottom