Mbeya: Wazazi tutoe elimu ya chakula kwa Watoto wetu kuanzia nyumbani ili iwe tahadhari ya kujilinda na Kipindipindu

Huu ugonjwa nilikuwa nauchukulia poa sana kama malaria ila umenichapa wiki nzima nimelala wodi za igawilo.
Ila mungu ni mwema nimetoka salama
 
Huu ugonjwa nilikuwa nauchukulia poa sana kama malaria ila umenichapa wiki nzima nimelala wodi za igawilo.
Ila mungu ni mwema nimetoka salama
Hakikisha tunakula vitu vya moto, mi niliacha kununua chochote kilichopikwa toka kipindupindu kiingie mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…