Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jiji la Rais Wa Mabunge Dunianu lina Kipindu pindu? Wanakula inya?Tulia kazi yake ni nini hasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiji la Rais Wa Mabunge Dunianu lina Kipindu pindu? Wanakula inya?Tulia kazi yake ni nini hasa
Jiji la Rais Wa Mabunge Dunianu lina Kipindu pindu? Wanakula inya?Tulia kazi yake ni nini hasa
HahahaaHotel ya Sugu ifungiwe kwa kueneza Kipindupindu
Hakikisha tunakula vitu vya moto, mi niliacha kununua chochote kilichopikwa toka kipindupindu kiingie mbeyaHuu ugonjwa nilikuwa nauchukulia poa sana kama malaria ila umenichapa wiki nzima nimelala wodi za igawilo.
Ila mungu ni mwema nimetoka salama
Huu ndio utaratibu Sasa hiviHakikisha tunakula vitu vya moto, mi niliacha kununua chochote kilichopikwa toka kipindupindu kiingie mbeya