It is Sur_Plus Senior Member Joined Sep 28, 2010 Posts 167 Reaction score 7 Nov 1, 2010 #1 Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu. Mitaa ya Mafyati, Mwanjelwa , Airport hadi soweto vurugu tupu. Vijana wasubir Mr.2 (sugu) kutangazwa mshind wa Ubunge mbeya mjin
Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu. Mitaa ya Mafyati, Mwanjelwa , Airport hadi soweto vurugu tupu. Vijana wasubir Mr.2 (sugu) kutangazwa mshind wa Ubunge mbeya mjin
Masaki JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,463 Reaction score 754 Nov 1, 2010 #2 Wamebana wameachia Nyamagana itakuwa Mbeya?
D Dwork1 Member Joined May 23, 2010 Posts 33 Reaction score 13 Nov 1, 2010 #3 mpaka hivi sasa niko ndani TIA ila bado haki eleweki bado wanaesabu kura
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 402 Nov 1, 2010 #4 Unyakyusani na usafwani hawatakagi mchezo. lazima kieleweke huko. mr. II lazima akalie kiti hicho. watabanabana hatimaye wataachia tu.
Unyakyusani na usafwani hawatakagi mchezo. lazima kieleweke huko. mr. II lazima akalie kiti hicho. watabanabana hatimaye wataachia tu.
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Nov 1, 2010 #5 Naona kuna haja ya kuishitaki NEC kwa kuchelewesha matokeo unneccesarily
R Ribless Member Joined Aug 9, 2009 Posts 9 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #6 Huu ni ukichaa! unawaweka watu kwenye suspence mpaka inakuwa unbearable si kama kuwatega watu wa watu buree! sioni advantage hapa kwao zaidi ya kuongeza chuki ya wananchi kwa serikali na ccm
Huu ni ukichaa! unawaweka watu kwenye suspence mpaka inakuwa unbearable si kama kuwatega watu wa watu buree! sioni advantage hapa kwao zaidi ya kuongeza chuki ya wananchi kwa serikali na ccm
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Nov 1, 2010 #7 Naskia shule ya sekondary loleza anaunguia. Raia wamechoma moto.
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Nov 1, 2010 #8 Dwork1 said: mpaka hivi sasa niko ndani TIA ila bado haki eleweki bado wanaesabu kura Click to expand... Afadhari upo unashuhudia live na utakuja na data kamili. Wengine wapo wanaporomosha udaku tuuuuu
Dwork1 said: mpaka hivi sasa niko ndani TIA ila bado haki eleweki bado wanaesabu kura Click to expand... Afadhari upo unashuhudia live na utakuja na data kamili. Wengine wapo wanaporomosha udaku tuuuuu