Elections 2010 Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu.

Elections 2010 Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu.

It is Sur_Plus

Senior Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
167
Reaction score
7
Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu. Mitaa ya Mafyati, Mwanjelwa , Airport hadi soweto vurugu tupu. Vijana wasubir Mr.2 (sugu) kutangazwa mshind wa Ubunge mbeya mjin
 
Wamebana wameachia Nyamagana itakuwa Mbeya?
 
mpaka hivi sasa niko ndani TIA ila bado haki eleweki bado wanaesabu kura
 
Unyakyusani na usafwani hawatakagi mchezo. lazima kieleweke huko. mr. II lazima akalie kiti hicho. watabanabana hatimaye wataachia tu.
 
Naona kuna haja ya kuishitaki NEC kwa kuchelewesha matokeo unneccesarily
 
Huu ni ukichaa! unawaweka watu kwenye suspence mpaka inakuwa unbearable si kama kuwatega watu wa watu buree! sioni advantage hapa kwao zaidi ya kuongeza chuki ya wananchi kwa serikali na ccm
 
Naskia shule ya sekondary loleza anaunguia. Raia wamechoma moto.
 
mpaka hivi sasa niko ndani TIA ila bado haki eleweki bado wanaesabu kura


Afadhari upo unashuhudia live na utakuja na data kamili. Wengine wapo wanaporomosha udaku tuuuuu

 
Back
Top Bottom