kifaulongo
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,033
- 458
Nyumba mpya ya kisasa inapangishwa maeneo ya Mbezi beach- Africana. Vyumba3 self-contained kimoja master bedroom, sitting room, kitchen, public toilet, store, parking kubwa,Nyumba safi inapangishwa laki6 kwa mwezi,kodi ya miezi6 nzuri sana ina sifa zakutosha. Kwa mahitaji ya kununua nyumba/Kuuza nyumba za kisasa na za kupanga kulingana na bajeti yako sehemu yoyote apa Dar fika ofisini kwetu MBEZI BEACH-GOIGI tunazo nyumba nyingi za kutosha.