House4Rent Mbezi beach africana

House4Rent Mbezi beach africana

kifaulongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
1,033
Reaction score
458
Nyumba mpya ya kisasa inapangishwa maeneo ya Mbezi beach- Africana. Vyumba3 self-contained kimoja master bedroom, sitting room, kitchen, public toilet, store, parking kubwa,Nyumba safi inapangishwa laki6 kwa mwezi,kodi ya miezi6 nzuri sana ina sifa zakutosha. Kwa mahitaji ya kununua nyumba/Kuuza nyumba za kisasa na za kupanga kulingana na bajeti yako sehemu yoyote apa Dar fika ofisini kwetu MBEZI BEACH-GOIGI tunazo nyumba nyingi za kutosha.
 
Kwa atakaye elewa jamaa anazungumzia nyumba gani ..anitag

#tangazoyaovyokabisa
 
Back
Top Bottom