Labda ni vema kufahamu ni haki gani hasa anayohitaji ili wenye maarifa wajue namna ya kumsaidiatukio lenyewe nikwamba kijana mmoja alikuwa anaishi na mke wake bahati nzuri mungu kawajalia kupata mtoto na mtoto wamempata kwa mama kufanyiwa opration yenyewe ajamaliza hata mwezi cha ajabu mama wa mwanaume na dada wa mwanaume wamekuja na kumfukuza nyumbani kwake huyo mzazi kwa madai kwamba wameshapata mwanamke anaye endana na kaka yao,ninacho omba mimi wana jf tufanye nini ili huyu dada hapate haki yake.
tukio lenyewe nikwamba kijana mmoja alikuwa anaishi na mke wake bahati nzuri mungu kawajalia kupata mtoto na mtoto wamempata kwa mama kufanyiwa opration yenyewe ajamaliza hata mwezi cha ajabu mama wa mwanaume na dada wa mwanaume wamekuja na kumfukuza nyumbani kwake huyo mzazi kwa madai kwamba wameshapata mwanamke anaye endana na kaka yao,ninacho omba mimi wana jf tufanye nini ili huyu dada hapate haki yake.

Huyo jamaa ndio lofa... Anaruhusuje huo upuuzitukio lenyewe nikwamba kijana mmoja alikuwa anaishi na mke wake bahati nzuri mungu kawajalia kupata mtoto na mtoto wamempata kwa mama kufanyiwa opration yenyewe ajamaliza hata mwezi cha ajabu mama wa mwanaume na dada wa mwanaume wamekuja na kumfukuza nyumbani kwake huyo mzazi kwa madai kwamba wameshapata mwanamke anaye endana na kaka yao,ninacho omba mimi wana jf tufanye nini ili huyu dada hapate haki yake.