Ujiji mkuuHiyo mbezi beach ipo maeneo gani hapa Kigoma..🤔
maeneo ya KazulamimbaHiyo mbezi beach ipo maeneo gani hapa Kigoma..🤔
Still looks better than 90% of streets in Tanzaniakwanza wameiharibu sana mbezi beach, original master plan ya mbezi beach ilkuwa moto, mbezi beach ilikuwa ndiyo masaki yetu tuliyoidesign wenyewe lkn kama kawaida master plan haikufwatwa na hiyvo wameiharibu sana mbezi beach ...
Still looks better than 90% of streets in Tanzania
kwa kweli waje watueleze, maana naskiaga tu mbezi beach, mbezi kwa zena,mbezi shule, Mbezi ya magufuri na mbezi nyingineNaomba kuuliza eneo hilo la mbezi beach linaanzia wapi nikitokea mwenge kwenda tegeta ? Je goba nayo ni mbezi? Maake nasikia mbezi ya goba
Wana dsm nielewesheni
Naangalia aerial view ya Mbezi Beach naona pamepangiliwa vizuri
Kilichobaki ni
Kila mtaa Tanzania ungepangika hivi ingependeza sana
- Kuweka barabara za lami mitaani kote
- Kuweka taa za barabarani
- Kuweka closed drainage system
Aerial view:
View attachment 3567768
Ni Bora kuliko UswekeniIyangalie Mbezi beach hivyo hivyo Ukiwa angani Ila shuka sasa ukutane nacho
Chemba kama zote zina mwaga tuu maji
Barabara mbovu balaaa ( matope,mashimo makorongo)
Kipindi cha mvua kunageuka ziwa dogo( kuna jaa maji balaa) utadhani mashamba ya Mpunga.
Mi vile wanaishi washua angalau effevt yake sio kubwa,ingekuwa uswahili basi kila mvua inayopiga ungeskia mafuriko .
Ni Bora kuliko Uswekeni
Tabata, Mbagala, manzese, mwananyamala, chanika, Buguruni, tandika, buza, tandale
Mwananyamala, Magomeni ni sehemu zilizokuwa zimepangiliwa vizuri hata keko mitaa ilikuwa imepandwa miti tatizo ni pale walipoanza kuuziana huyi kajenga ghorofa huyu kajenga nyimba ya chini mwingine kaweka frem, baa zisizo na mpangilio vurugu mechi.Buza itoe hapo.
Moja ya eneo Limebahatika kujengeka mindo mbinu ya Barabara mifereji mikubwa kila kona ni Buza hasa Yombo
Sema kweli wanaishi waswahili ila kule Njia za zenge ziko had vichochoroni na mifereji mikubwa na Taa Za barabarani.
Hata mwananyamala nako njia ziko vziuri sana shida kweli wanao ishi ni waswahili.
Tutofautishe kati ya waswahili na Maendeleo ya eneo.
Kwa sifa ya mbezi beach ilipaswa kila kona kuwe na lami ila ni pa hovyo sana ukibahatika kupazunguka
Ndio maana naona kuna vitu vitatu huu mtaa unakosaIyangalie Mbezi beach hivyo hivyo Ukiwa angani Ila shuka sasa ukutane nacho
Chemba kama zote zina mwaga tuu maji
Barabara mbovu balaaa ( matope,mashimo makorongo)
Kipindi cha mvua kunageuka ziwa dogo( kuna jaa maji balaa) utadhani mashamba ya Mpunga.
Mi vile wanaishi washua angalau effevt yake sio kubwa,ingekuwa uswahili basi kila mvua inayopiga ungeskia mafuriko .
Njoo mamaa hapa EB25, Mbezi Beach, Makonde nikuelezee vizuri wakati tuna sip cappuccinokwa kweli waje watueleze, maana naskiaga tu mbezi beach, mbezi kwa zena,mbezi shule, Mbezi ya magufuri na mbezi nyingine