Mazoezi yanafanyika lini na uwanja gani.
Kuna football na jogging.Football kwa wale wenye nafasi kila siku jioni J4 mpaka Ijumaa kuazia saa kumi na moja jioni.Weekends,Jumamosi asubuhi saa moja na Jumapili siku za freind match,either uwanjani kwetu au tukwenda tulipoalikwa.Kwa upande wa jogging ni kila Jumamosi asubuhi saa moja,tunajog mpaka beach ya Girafe Hotel na tunakimbia beach for one hour nakurudi kiwanjani kwetu.Uwanja upo karibu na flat za NSSF,opposite na Valentino Hall.
Karibu sana Mkalikenya
Mkuu Magehema tumeshawapiga sana hao Kijitonyama Veterans,mara ya mwisho kwenye uwanja wao wa Bora tuliwapiga goli 7-4.Mimi pia ni Ex-Kijitonyama Veterans,wakati huo nakaa Sinza.Mwambie Majuto wa Mwananchi Publishing ana contact zetu.Karibu sana Mbezi Beach Veterans mkuuMfano tukihitaji kucheza na timu yako ya Veterans mkuu tutawapataje? Kuna mziki mzito wa Kijitonyama Veterans inabidi tuwakaribishe siku moja.
KIKUNGU Naishi karibu na st Gasper, na niko interested na timu ya mpira, jogging huwa nafanya on week days!