Mbezi Beach Veterans Social and Sports Club..........Njoo tujenge afya na tuburudike

Mbezi Beach Veterans Social and Sports Club..........Njoo tujenge afya na tuburudike

KIKUNGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
845
Reaction score
587
Salaams wana JF,
Je wewe ni mkazi wa Mbezi Beach na maeneo yaliyokaribu,je unapenda michezo hasa mpira wa miguu na jogging au fitness fanatics?Kama jibu ni ndio basi njoo tujumuike pamoja kwenye club yetu hii.Tunazaidi ya miaka kumi.........Lengo letu kubwa ni kujenga afya na kuwa ndugu kwa raha na shida.Ni -PM kama uko interested
 
Mazoezi yanafanyika lini na uwanja gani.

Kuna football na jogging.Football kwa wale wenye nafasi kila siku jioni J4 mpaka Ijumaa kuazia saa kumi na moja jioni.Weekends,Jumamosi asubuhi saa moja na Jumapili siku za freind match,either uwanjani kwetu au tukwenda tulipoalikwa.Kwa upande wa jogging ni kila Jumamosi asubuhi saa moja,tunajog mpaka beach ya Girafe Hotel na tunakimbia beach for one hour nakurudi kiwanjani kwetu.Uwanja upo karibu na flat za NSSF,opposite na Valentino Hall.
Karibu sana Mkalikenya
 
Ok vizuri kaka mimi nakaa jirani kabisa na NSSF nitaanza jmosi hii.
 
Wanajf njoni tujenge afya kama unakaa maeneo haya.CC,gfsonwin,Kaizer,mtani snowhite,Kongosho
 
Mfano tukihitaji kucheza na timu yako ya Veterans mkuu tutawapataje? Kuna mziki mzito wa Kijitonyama Veterans inabidi tuwakaribishe siku moja.
 
Wanajf njoni tujenge afya kama unakaa maeneo haya.CC,gfsonwin,Kaizer,mtani snowhite,Kongosho
KIKUNGU Naishi karibu na st Gasper, na niko interested na timu ya mpira, jogging huwa nafanya on week days!
 
Last edited by a moderator:
Mfano tukihitaji kucheza na timu yako ya Veterans mkuu tutawapataje? Kuna mziki mzito wa Kijitonyama Veterans inabidi tuwakaribishe siku moja.
Mkuu Magehema tumeshawapiga sana hao Kijitonyama Veterans,mara ya mwisho kwenye uwanja wao wa Bora tuliwapiga goli 7-4.Mimi pia ni Ex-Kijitonyama Veterans,wakati huo nakaa Sinza.Mwambie Majuto wa Mwananchi Publishing ana contact zetu.Karibu sana Mbezi Beach Veterans mkuu
 
KIKUNGU Naishi karibu na st Gasper, na niko interested na timu ya mpira, jogging huwa nafanya on week days!

Doctor Riwa mbona uko karibu sana mkuu,njoo hata leo tuna mazoezi kila siku kuanzia J4 mpaka Ijumaa,Jumamosi jogging na jumapili siku za mechi.Uwanje upo kwenye shule ya kanisa la St Gasper inaitwa Lieberman karibu na hilo kanisa.Karibu sana Doctor,ninaku-PM namba yangu kwa ajili ya contact kama kweli uko interested
 
Guys karibuni Mbezi Beach Veterans tujenge afya na tufahamiane
 
safi sana chairman wa mbezi beach ,ila ujue bench litakuhusu tukija wenye namba zetu
 
Back
Top Bottom