MBEZI KIMARA HAKUNA BANK;Nani kawaloga?

MBEZI KIMARA HAKUNA BANK;Nani kawaloga?

Mleta mada haukufanya research kabla ya kuleta huu uzi. Mbezi mwisho kuna branch ya CRDB na ATM ya NBC. Na sehemu kibao kuna ATM za benki tofauti. Tunangoja mji mpya ujengwe pale ruguruni ili na sisi tuanze kutesa.

Tiba

Usimhukumu mtoa mada angalia mada ni ya lini na hzo benk muda huo zilikwepo?
 
Back
Top Bottom