Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani.
Tulizana nyumbani kwakoTunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani
Ticket zimeisha baki tu nyumbani utazame kwenye siklini yako ya Chogo mkuu.Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani
Tiket ninayo mkuu VIP ATicket zimeisha baki tu nyumbani utazame kwenye siklini yako ya Chogo mkuu.
Hakuna mkuu.Tunaotaka kwenda kuangalia mpira tunaomba ramani sisi wageni yakufika uwanjani