INAUZWA Mbezi Mwisho: Operating 17 Shop Frames For Sale - Dar

INAUZWA Mbezi Mwisho: Operating 17 Shop Frames For Sale - Dar

Kasri Homes Tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
501
Reaction score
694
• Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal)
• Condition: Good
• Plot Size: 5mx50m
• Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano)
• Price: TZS 1.5 billion
.
✓ maduka yako 17 na mabanda ya chuma 6
✓ yanapakana na barabara ya lami
✓ yote yana wapangaji
✓ hii ni kodi ya maduka kwa mwezi (TZS):
  • Maduka 5@300,000
  • " 3@400,000
  • " 8@500,000
  • Duka 1=700,000
✓ hii ni kodi ya mabanda kwa kila mwezi (TZS):
  • Mabanda 3@300,000
  • " 3@400,000
✓ sababu za kuachia mradi huu mnono haijulikani. Njoo tukuunganishe na mmiliki uzungumze naye mwenyewe huenda atakuambia
.
Call/Watsap: 0767 15 77 88
.
In real estate we connect
 
Attachments

  • VID-20240712-WA0010.mp4
    20.5 MB

Sababu ya kuuzwa?
 
Hatununui mabanda..tunanua ardhi..weka kopi ya hati..
Weka makaratasi ya vibali vya ujenzi wakati unajenga hayo mabanda.
 
Nmependa sana marketing skills za mtoa mada, hasa tangazo lake linavojieleza na iyo video aliyoweka.

Madalali wetu Wana la kujifunza hapa
 
• Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal)
• Condition: Good
• Plot Size: 5mx50m
• Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano)
• Price: TZS 1.5 billion
.
✓ maduka yako 17 na mabanda ya chuma 6
✓ yanapakana na barabara ya lami
✓ yote yana wapangaji
✓ hii ni kodi ya maduka kwa mwezi (TZS):
  • Maduka 5@300,000
  • " 3@400,000
  • " 8@500,000
  • Duka 1=700,000
✓ hii ni kodi ya mabanda kwa kila mwezi (TZS):
  • Mabanda 3@300,000
  • " 3@400,000
✓ sababu za kuachia mradi huu mnono haijulikani. Njoo tukuunganishe na mmiliki uzungumze naye mwenyewe huenda atakuambia
.
Call/Watsap: 0767 15 77 88
.
In real estate we connect
Ishu ni barabara tu hapo... hiyp njia haiachi kupanuliwa...
 
Kiwanja Cha 5M by 50M kingekua na hati ningeshangaa sana, hapa Kuna mtu atalia na kusaga meno
 
Back
Top Bottom