Mbezi ya Kimara hakuna mgao wa maji, maji hakuna kabisa!

Wapinzani walituchelewesha sana
Miaka miwili Sasa upinzani haupo Tanzania, mbona Mambo ndio yanazidi kwenda down south?
Maharage 4,000 kilo
Michele 3700 kilo
Umeme hauna uhakika 61 years of independence.
Maji nadhani Hali unaiona.
Mafuta ya kupikia yako kwenye minazi.
Reli ya SGR imeshindikana kuanza kazi japo mpaka Moro.
Bwawa la nyerere ...until further notice.
V eite zinazidi kununuliwa.
 
wakuu nipo maeneo ya Mbezi Makabe, yaani huku hakuna mgao wa maji ila tumenyimwa kabisa. wahusika kama hawatuoni!
kuna mtu anafanya kazi DAWASA itakuwa kaiona hii post, yameanza kutoka daa kumi usiku, japo kwa mwendo wa kobe.
 
Miaka miwili Sasa upinzani haupo Tanzania, mbona Mambo ndio yanazidi kwenda down south?
Maharage 4,000 kilo
Michele 3700 kilo
Umeme hauna uhakika 61 years of independence.
Maji nadhani Hali unaiona.
Mafuta ya kupikia yako kwenye minazi.
Reli ya SGR imeshindikana kuanza kazi japo mpaka Moro.
Bwawa la nyerere ...until further notice.
V eite zinazidi kununuliwa.
na bodi ya mikopo inataka ivunjwe🤣🤣
 
wakuu nipo maeneo ya Mbezi Makabe, yaani huku hakuna mgao wa maji ila tumenyimwa kabisa. wahusika kama hawatuoni!
Makabe tangu kuumbwa misingi ya ulimwengu hakuna maji.

Mbaya zaidi sio Maji tu, hata barabara za lami zinaelekezwa maeneo ambayo hayana wakazi wengi, Makabe tunaendelea kusugua gaga,

Tunaambiwa kipindi kile tulichagua upinzani ndo maana, sasa leo hakuna upinzani lakini hali ni mbaya zaid, sijui watasingizia nini.
 
😂😂
 
kwani mlitumwa mkae na wachaga wengi huko? hameni kwani hamjui ni mkakati wa makusudi kuwatia adabu kwakua mnajifanya wapinzani? hamkumbuki hata bomoa bomoa wengine waliachwa ila huko mbezi kimara kibamba etc waliisoma namba? ni mwendelezo ule ule tu serikali ya kibaguzi na visasi. Ombeni sana Mungu zambi ya ubaguzi bado inalitafuna taifa
 
mbona kama kuna ukweli hapa, lakini chanika huko, ukonga si wamechagua chama tawala nao hali zao bora kwetu tu kwa wachaga huku.
 
Back
Top Bottom