Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Habari Wanabodi,
Nimenukuu kauli mbiu iliyotumika wakati wa mchakato wa Bunge Maalum la Katiba Mpya isemayo " Mbili zatosha Tatu za nini?"
Wajuzi wa Sheria mchakato wa uchaguzi umekwisha na Mgombea Uraisi wa CCM Dr J.Magufuri ameshinda kuwa raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ataapishwa ataunda Baraza la Mawaziri, hapo hapo Wabunge wateule wote wataapishwa na baadhi yao kuteuliwa kuwa mawaziri.
Hofu/Mashaka yangu ni haya,
Kwa vile uchaguzi wa Serkali ya Mapinduzi ya Zanzibar umefutwa hivyo hatutakua na Wabunge/Wawakilishi toka Zanzibar
-je hili Bunge litakapoanza rasmi kuuapa na kumchagua Spika wake litakua Bunge la Tanganyika au la Jamhuri ya Muungano?
-je Baraza la Mawaziri litakaloundwa nalo ni la Tanganyika au la Muungano?
Nauliza hivyo sababu hatuna/hatutakua na Wabunge/Wawakilishi toka Zanzibar kwa kipindi hiki ambacho Baraza la Mawaziri litaundwa.
Uono wangu" Naiona kama Tanganyika vile inakuja" Hapa tungekua na Serikali tatu lisingesumbua.
Wanasheria njooni mnijuze kuhusu hilo, natatizika
Karibuni tujadiri na si kukizana