Mbilia Abel atua Tanzania.

Mbilia Abel atua Tanzania.

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Rhumba Africa Mwana Mama Mbill Abel @mbilia.bel amewasili Tanzania kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival ambalo linafanyika Ikwiriri Rufiji Mkoa wa Pwani lilianza Dec 12 na litamalizika kesho Dec 14 mmoja wa Coordinator wa Tamasha hilo @anania_junior amesema Mbill Abel amekuja kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi mwaka Jana Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohammed Mchengerwa alisema dhamira ya Tamasha hili kuwaunganisha wa africa sababu Bibi Titi amezaliwa Tanzania lakini ni wa waafrica wote.
 
Weka hata space basi, unakimbilia wapi?
Maandishi kama sisimizi wameongozana
 
Back
Top Bottom