Mbilia Abel atua Tanzania.

Mbilia Abel atua Tanzania.

Msanii Mkongwe wa Muziki wa Rhumba Africa Mwana Mama Mbill Abel @mbilia.bel amewasili Tanzania kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival ambalo linafanyika Ikwiriri Rufiji Mkoa wa Pwani lilianza Dec 12 na litamalizika kesho Dec 14 mmoja wa Coordinator wa Tamasha hilo @anania_junior amesema Mbill Abel amekuja kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi mwaka Jana Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohammed Mchengerwa alisema dhamira ya Tamasha hili kuwaunganisha wa africa sababu Bibi Titi amezaliwa Tanzania lakini ni wa waafrica wote.
Watanzania mnaboronga hata kuandika na majina ya watu pia? Huyu mwanamama anaitwa Mbilia Bel si Mbilia Abel, mnaboa jamani.
 
Tamasha la Bibi Titi Memorial Festival ambalo linafanyika Ikwiriri Rufiji Mkoa wa Pwani lilianza Dec 12 na litamalizika kesho Dec 14 mmoja wa Coordinator wa Tamasha hilo @anania_junior amesema Mbill Abel amekuja kwaajili ya Tamasha la Bibi Titi mwaka Jana Mbunge wa Rufiji Mhe. Mohammed Mchengerwa
Huyu mama si alitajwa kutaka kumhujumu Mwl. Nyerere
 
Back
Top Bottom