Mbilia bel

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dah nilikuwa natafuta sana jina la huyu mwanamuziki wa Kenya, kuna nyimbo yake moja inaitwa Nekai_nairobi ya kitambo hicho kidogo, uwa naikubali sana..
 
Attachments

  • 1391372782891.jpg
    7.3 KB · Views: 925
Dah nilikuwa natafuta sana jina la huyu mwanamuziki wa Kenya, kuna nyimbo yake moja inaitwa Nekai_nairobi ya kitambo hicho kidogo, uwa naikubali sana..

nani kakwambia uyo ni mwanamziki wa kenya?
uyo ni mtu wa congo .
binafsi namkubali nyimbo zake hazichuji daima pia aliimba kwa kiswahili safi ni kama marehemu pepe kale nyimbo ya hidaya.

nakumbuka mbali sana nikiwa mtoto.
 
Oh from Congo, nice song nasikiliza apa hii ya nairobiiiiii mombasaaa, nakuruu sijui wapi wapi ni Bonge la songi
 
Dah nilikuwa natafuta sana jina la huyu mwanamuziki wa Kenya, kuna nyimbo yake moja inaitwa Nekai_nairobi ya kitambo hicho kidogo, uwa naikubali sana..

Suuzika!
 
Last edited by a moderator:
Nadina
Boyaye
Mabwana wananitamani
 
Kumbe JF sasa imejaa watoto, yani mbilia bell anatoka Kenya?
 
Wewe una matatizo sio Bure, kwa hiyo mtu akikosea sehemu yeye ni mtoto? Sidhan kama akili zako ziko sawa
 
Nalijua vema,ndo maana ninauhakika umelivutaia chooni leo.
 
hii mods wakivumilia hii....? Chinga One atalia sana ....
 
Last edited by a moderator:
Kumbe JF sasa imejaa watoto, yani mbilia bell anatoka Kenya?

mtu kukosea haimaanishi kwamba ni mtoto!

mbona waziri wenu alisema muungano wenu unajumuisha Tanganyika na Zimbabwe?

je nae ni mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…