Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nilikuwa natafuta sana jina la huyu mwanamuziki wa Kenya, kuna nyimbo yake moja inaitwa Nekai_nairobi ya kitambo hicho kidogo, uwa naikubali sana..
nani kakwambia uyo ni mwanamziki wa kenya?
uyo ni mtu wa congo .
binafsi namkubali nyimbo zake hazichuji daima pia aliimba kwa kiswahili safi ni kama marehemu pepe kale nyimbo ya hidaya.
nakumbuka mbali sana nikiwa mtoto.
Dah nilikuwa natafuta sana jina la huyu mwanamuziki wa Kenya, kuna nyimbo yake moja inaitwa Nekai_nairobi ya kitambo hicho kidogo, uwa naikubali sana..
Kumbe JF sasa imejaa watoto, yani mbilia bell anatoka Kenya?
Naona uko nyuma pananyevua nyevua, endelea
Nalijua vema,ndo maana ninauhakika umelivutaia chooni leo.
Jitie dole
Kumbe JF sasa imejaa watoto, yani mbilia bell anatoka Kenya?