Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza kichaa sio mzima hakika
Una ushahidi na unayoongea?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hakuna aliyekamilika chini ya jua.halafu huyo mhe.akumbuke cheo ni dhamana.always try to do the right things in this world.walikuwepo maarufu lakini tulishawasahau
Nyie wanaume kwani huwa mmaangaliaga? Kama vipofu vile, ona sasa huyu,Teh Teh Walikutana na Sugu facebook!
YapUna ushahidi na unayoongea?
Hahahaha!! Shivazz....
.....aiseeeh Kitu cha mrina
Ukiangaliwa wewe unaanza kunata, kinachoangaliwa ni ule ukike wako tupige show life iende, mkishaanza minato, wanawake tunaweza ndipo mnapoharibugi uhalisia wa kikeNyie wanaume kwani huwa mmaangaliaga? Kama vipofu vile, ona sasa huyu,
Well said dinazardeSo ampe pesa za matumizi ,hii ni Mara nyingi analalamika hapewi matumizi ,sio kichaa faiza bana,mbunge mzima kutoa pesa ya mwanao shida khaa!!!
Mwanamke kichaa kma uyu simpi ata sentiSo ampe pesa za matumizi ,hii ni Mara nyingi analalamika hapewi matumizi ,sio kichaa faiza bana,mbunge mzima kutoa pesa ya mwanao shida khaa!!!
.....Unaweza ukazaa na mwanamke ukajutia maisha yako yote.
....Hahahaha!! Shivazz