Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Faiza kichaa sio mzima hakika

Wala sio Sugu aliyemzibia, ni tabia na akili yake, watu wengi walisikitikia EATV kwa kuibua wazo hilo kwani heshima ya kituo ilikuwa inakwenda kushuka vibaya, Faiza ni kituko, mtu asiyeheshimika na jamii kwa mambo yake aliyoyafanya yeye mwenyewe, hana wa kumlaumu, kama anamshitakia Mungu basi Mungu atamuonesha yeye sio mjinga, atamuonesha njia kwa namna atakayoona inafaa, tusubiri
 
Huyu dada hata huwa simuelewi elewi.

Hata vitu anavyoandika kwenye mitandao ya kijamii, inaonesha ni mtu mwenye stress za maisha. Sasa hapo kwenye kipindi chake sijui sugu anausikaje!! Au sugu ni production team hapo EATV. Ana tafuta kick hana lolote
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hakuna aliyekamilika chini ya jua.halafu huyo mhe.akumbuke cheo ni dhamana.always try to do the right things in this world.walikuwepo maarufu lakini tulishawasahau
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hakuna aliyekamilika chini ya jua.halafu huyo mhe.akumbuke cheo ni dhamana.always try to do the right things in this world.walikuwepo maarufu lakini tulishawasahau
Una ushahidi na unayoongea?
 
Wanawake wanao lalamika lalamika kama huyu wanatia kichefu chefu.

Umedhulumiwa chukua mkataba wako ulie kubaliana na EAT nenda mahakamani.
Sugu katoa rushwa ili show yako isirushwe nenda mahakamani.

Hakuna mtu alie juu ya sheria.

Otherwise tutolee uvivu hapa.
 
Nyie wanaume kwani huwa mmaangaliaga? Kama vipofu vile, ona sasa huyu,
Ukiangaliwa wewe unaanza kunata, kinachoangaliwa ni ule ukike wako tupige show life iende, mkishaanza minato, wanawake tunaweza ndipo mnapoharibugi uhalisia wa kike
 
So ampe pesa za matumizi ,hii ni Mara nyingi analalamika hapewi matumizi ,sio kichaa faiza bana,mbunge mzima kutoa pesa ya mwanao shida khaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…