Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

Mbinguni hakuishi miili bali roho.. Kama unaweza kuiona roho basi utaiona mbingu.. Kama huwezi kuiona roho basi sahau kuiona mbingu! Limitations ziko hapo
Roho ni nini?

Kwa nini baadhi ya watu waione roho, Na wengine washindwe kuiona iyo roho?

Kwamba iyo roho ipo kwa watu wachache na watu maalumu tu, wa kuweza kuiona?

Kwa nini iyo roho iwepo kwa watu wachache tu, wa kuweza kuiona?
 
Kifo kinathibitisha vipi Mungu yupo?

Mungu muweza wa yote, Alishindwaje kuumba binadamu wasio kufa?

Huyo Mungu yupo kweli?

Na anaweza yote kweli?
Kifo co uthibitisho wq kuwepo kwa Mungu ni kweli kabisa
Maan kila kiumbe kina kufa
Hivo kifo ni pitio la kiumbe chochote haijarishi kinajua au hakijui mungu
 
Roho ni nini?

Kwa nini baadhi ya watu waione roho, Na wengine washindwe kuiona iyo roho?

Kwamba iyo roho ipo kwa watu wachache na watu maalumu tu, wa kuweza kuiona?

Kwa nini iyo roho iwepo kwa watu wachache tu, wa kuweza kuiona?
ROHO=UHAI
Kiumbe chochote tukisema kipo hai bas kina roho
Na kiumbe kinapokufa roho/uhai huacha mwili
Na baada ya hapo ROHO hiyo huwa mizim,mizuka ngolobelo ama ngurubi kulingana tu roho hiyo imerecord mambo gan kwa kiumbe husika iwe ni mema au mabaya na mazuri
Hapa chini kuna mchanganuo wa ROHO zilizoacha miili
Ikumbukwe ROHO yoyote ambayo utakutana nayo kwa namna yoyote ile ni roho ilokwisha acha mwili ni kwamba yoyote huweza kuonana nayo

MIZIMU NA MIZUKA,
NGOLOBERO NA NGULUBI
=================

MZIMU
Ni Roho ya MTU aliyekufa akiwa ametenda mema kichamungu, na Roho hiyo huhifadhiwa ANGA linaloitwa ZUGRIL GALAYO, na baada ya Roho hiyo kuwepo Zugril Galayo, hubadilika jina na na kuitwa MZIMU

MZUKA.
Ni Roho ya MTU aliyekufa pasina kuwa mchamungu, Kwa maana nyingine, Mtenda mabaya, na Roho hiyo huhifadhiwa ANGA linaloitwa MALAUMU NUNU, na baada ya Roho hiyo kuwepo Malaumu nunu hubadilika jina na kuitwa MZUKA

NGOLOBELO.
Ambayo kwa lugha ya Kiswahili ni ROHANI. Ni Roho ya Kiumbe chochote Tofauti na MTU, kilichokufa kikiwa Kimetenda mema kichamungu. Roho hiyo huhifadhiwa ANGA linaloitwa ZUGRIL GALAYO, ila kwa sehemu yake nyingine tofauti na zinapokuwepo Roho za watu waliohitimu mema. Kwa maana kila viumbe hukaa ndani ya sehemu yao kwa kuwa na EKRIVE ambayo ndiyo Mipaka iliyopo huko kiroho

NGULUBI.
Ambayo kwa lugha ya Kiswahili ni DOHANI. Ni Roho ya KIUMBE CHOCHOTE tofauti na MTU, kilichokufa pasina kuwa na uchamungu, na Roho hiyo huwekwa ANGA linaloitwa MALAUMU NUNU, ila pia kwa sehemu yake nyingine tofauti na zinapokuwepo Roho za watu watenda mabaya.

Sende Esupriy Dewo Ochi
 
NGOLOBELO
.

Aisee
 
hata binadamu pamoja na UKATILI na uwendawazimu wake wote,.. bado hajafikia UKATILI kama huo,... nadhani hawa watu wanaoamini dini wana ubongo tofauti kidogo na ubongo wa binadamu wenye common sense....
Nashindwa kuelewa ni nani anaetumia common sense kati ya anaemuamini Mungu na asie muamini Mungu.Common sense imejikita zaidi kwenye judgement,,,kwamba unapofanya judgement yako inakuwa imebase kwenye nini hasa...maana anaemuamini Mungu anaifuata sheria alioianzisha Mungu ambayo imeenea mpaka katika vyombo vya haki vya kawaida kama mahakama,,,sasa mliberali anaesema hakuna Mungu na hafuati sheria yake na anataka watu wengi waelewe kama yeye kwamba hakuna Mungu,,,anatumia Common sense ipi???? Mimi nadhani watu wenye common sense halisi ni wale wanaoamini kwamba Mungu yupo kwa sababu wanaishi katika uhalisia na zaidi wanafuata installation manual kwamba kipi ni sahihi na kipi sio sahihi acording to the installation manual..Ila openminded person nao hudhania kwamba wana common sense lakini hatuoni fact zao kwamba zina msingi wenye nguvu zaidi ya kuwa na cult idol ambae ni bingwa wa kusema hakuna Mungu as their reference...Nimeona nchi za waliberali baba anahudhuria ndoa ya mtoto wake wa kiume anaeolewa labda unadhani yeye atasema amekuwa openminded au anatumia common sense??? Mimi naiona pure common sense kwa wale wanaomwamini Mungu tu.
 
kwanza ni lazima ujue kuwa hahuitaji DINI ili kuwa na akili timamu na kuweza kutambua lipi ni sahihi na lipi sio sahihi,...(baadhi ya dini zenu zinasapoti ushoga!).....ebu fikiria mazingira ambayo wewe ulitamani mwanao aje ayaishi hapo baadaye, bila shaka ni mazuri zaidi...lakini ukiangalia haya maisha ya binadamu na viumbe vingine vyote maisha yao no taabu tupu...ambayo hakuna mzazi angependa mtoto wake aje apitie......kwa sifa na ukuu wa MUNGU munae muhubiri, asingeweza kuacha viumbe vyake viteseke namna hii eti tu kwasababu eva alikula tunda....hata ukipungukiwa akili huwezi ikubali dhana hii...
 
Dhana ya viumbe kuteseka kwa sababu ya Adamu na Eva kula tunda umeiona ni upuuzi kutokana na ground uliosimama kufanya judgement. Na ndio maana una uthubutu wa kusema hakuna Mungu...Na anae angalia na kufanya judgement yake akiwa kwenye angle nyingine atakuona wewe katika mtizamo ule ule wa kuwa weak.
 
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?

Je, hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?

Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?

Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo.

You can not wish for a house of gold in Heaven while you have never touched gold right here on Earth.

If you fail to live on Earth, The fantasy of heaven is an illusion.
ukiishi kwa kuamini hicho ulichoandika utakuwa mjinga sana.
 
Jenga hoja kuonesha uwepo wa hiyo mbingu, Na si mawazo yako ya kufikirika tu.

Acha mbambamba.

Mjinga ni wewe unaye amini visivyo kuwepo.

Thibitisha mbingu ipo na si mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Dhana ya viumbe kuteseka kwa sababu ya Adamu na Eva kula tunda umeiona ni upuuzi kutokana na ground uliosimama kufanya judgement. Na ndio maana una uthubutu wa kusema hakuna Mungu...Na anae angalia na kufanya judgement yake akiwa kwenye angle nyingine atakuona wewe katika mtizamo ule ule wa kuwa weak.
kwa mtazamo huo hata wewe unaweza adhibu mifugo yako kisa mtoto wako kacherewa kurudi nyumbani......kifupi hamna majibu sababu mumekaririshwa tangu utotoni mwenu na hamuwezi kufikiri nje ya boksi......#thinkagain
 
Mbingu halisi ni hapahapa juu ya nchi. Hiyo ya rohoni ilishavamiwa na malkia wa mbinguni yeremia 44:17-18 na joka ufunuo 12:1-9, ndo maana Muumba akasema mnatazamia mbingu mpya na nchi mpya ambamo haki yakaa ndani yake (2petro 3:12-13).
 
kwa mtazamo huo hata wewe unaweza adhibu mifugo yako kisa mtoto wako kacherewa kurudi nyumbani......kifupi hamna majibu sababu mumekaririshwa tangu utotoni mwenu na hamuwezi kufikiri nje ya boksi......#thinkagain
Nelson Mandela alisema "" ukiongea na mtu kwa lugha ya kigeni unaongea na kichwa chake,,lakini ukiongea na mtu kwa lugha yake unaongea na moyo wake"" maana yangu ni hii biblia imeandikwa kwa lugha ya kiswahili kwa hio mimi niliekwisha isoma vitabu vyote ninaielewa na hakuna alienikaririsha chochote.Na kila ninapoisoma tena na tena napata kuielewa zaidi...Mtu anaetakiwa kufikiri nje ya box ni wewe kwa kuwa umepata bahati mbaya ya kupata elimu potofu kabla ya kupata elimu sahihi..Ambapo hayo maarifa potofu ulio nayo yametokana na kupotoshwa maarifa sahihi...Na kibaya zaidi watu wenye nia potofu,,cynical na vile ndio roles model wako.
 
Kitu kikisha thibitishwa na kuonekana kipo, kutakuwa hakuna haja ya imani, maana kitakuwepo.

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Wanasayansi mpaka sasa, Hawana uthibitisho wa kuonyesha uwepo wa Mungu na mbingu,

Kwa vile ni vitu ambavyo havipo katika uhalisia bali ni mawazo ya kufikirika tu.

Imaginations just an illusion.
Basi haujui tafsiri sahihi ya neno "Imani" ulivyoitafsiri hapa ni wazi hata neno imani haujui ni nini..
 
Unataka definition na tafsiri yako ya "imani" iwe sawa na ya kwangu?

Yani unataka kusikia vile unavyo elewa wewe?

Kwamba unalazimisha unavyo elewa wewe kuhusu imani ndio iko hivyo kwa wote.

Kwamba mtazamo wako na tafsiri yako ni kanuni kwa ulimwengu mzima?

Nakwambia hivi 👇

Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Imani ni Imagination just an illusion.
 
Mbingu ipo na Al Shabaab na wale waarabu wanaojilipua ndio ushahidi.
 
Back
Top Bottom