Mbinguni/peponi pamegunduliwa

Ha ha haaa!...ulimwengu wa roho hauchunguziki kwa vyombo vya wanadamu.
 
mh napata mashaka na hayo waliyoyasema kama wamebuni hivi embu ngoja tuzame kwenye chanzo tukadig wenyewe wanasayansi bana janja janja sana kila siku huwa nasema
 
Duh nakuona uko kifungoni, unatoka lini?

Namuona dada MudaWote kafungiwa...maajabu...ila ni mnazi mkali sana wa CCM..yeye kutukana wapinzani ni sawa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…