Mbinguni sio salama, ni propaganda tu!

Niwazavyo mimi ninaona ipo siku wadamu wote watatoweka duniani na kuja viumbe wengine, jaribu kuona kwamba kwanini wanadamu wa kale walikua wakiishi miaka mingi ila kila siku na miaka inavyokwenda umri wa kuishi unapungua kutoka miaka 300 na kuendelea na kupungua hadi kufika miaka 95 kushuka chini adi dk 1.

Ona kwamba maisha yanavyobadilika mtoto uliemwacha kijijini bado ni mdogo ukionana nae after 5yrs tayar amebadilika kupita kiasi kwamba tayar mnalingan na hata yeye akaonekan ni mkubwa kwako, :
ni mfano:

Kwa mantiki hiyo kama zamani walikuepo viumbe wengine na sasa wametoweka kabisa, historia inatuambia kua MIJUSI ya kale ndio viumbe waliokua na akili na teknolojia ya juu kushinda hata mwanadamu.

Ila sasa walitoweka. Najaribu tu kuwaza
 
Dini na Sayansi haviendani
 
Mbna muumbaji nae alisahau Kumuumbia Adam jike ilhali tayari viumbe vingine viliumbiwa majike?
Na baadae ndo anahamaki kwamba haikupaswa awe pekeake ndo anamuumbia jike(Eva/Hawa)
 
Mbna muumbaji nae alisahau Kumuumbia Adam jike ilhali tayari viumbe vingine viliumbiwa majike?
Na baadae ndo anahamaki kwamba haikupaswa awe pekeake ndo anamuumbia jike(Eva/Hawa)
Thibitisha kama alisahau.
 
Tamu sana
 
Hizi story zimedumaza vichwa vya waumini wengi. Ni ujinga uliotukuka.
 
Mleta mada nimegundua vitu 2 vikuu kwako;
  1. Ulizaliwa ukiwa na akili sana na nahisi miaka yako ya awali ulikuwa mzuri sana class!
  2. Ulikuja kuingia magenge ya ujanani ukaanza bange ambayo inaonekana imekuvuruga kabisa! acha!
 
Mleta mada nimegundua vitu 2 vikuu kwako;
  1. Ulizaliwa ukiwa na akili sana na nahisi miaka yako ya awali ulikuwa mzuri sana class!
  2. Ulikuja kuingia magenge ya ujanani ukaanza bange ambayo inaonekana imekuvuruga kabisa! acha!

😄😄😄😄

Sijawahi kutumia kilevi waka madawa yoyote ya kulevya tangu nizaliwe na sina mpango huo Mkuu
 
Uzi umetulia... Nimeukubali!
 
Kusema tu Adam alitolewa duniani kupelekwa Edeni umechemka. Leta vithibitisho. Edeni ni duniani mkuu
 
Robert, I wish ningekuona tukakaa nikakupa elimu sahihi ya Biblia.You have some knowledge of the Bible,lakini kuna gaps nyingi na heresy.You also seem to have a lot of interest in knowing the Bible,but you lack the Holy Spirit, who leads believers to all truth.

What are you supposed to do?Receive Jesus Christ as your personal saviour.By doing that ,you will receive the Holy Spirit,who will then guide you to all truth, including assuring you that Heaven is our real home and indeed the safest and most beautiful place to be.Mkuu ukisema Mbinguni sio salama,hata Shetani anakucheka,because he was there and he knows it.
 
Hizi bado za kutuchanganya changanya bado zipo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…