Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #181
Ningekuwa mwanaume ningestiki kwenye 5-10 hizo ndio za ukweli sana...
Cha mhimu hapa kila mmoja na atende kwa makusudi Mungu alivyo muumba, haya mambo ya kutaka usawa mwisho huleta muvutano usio sababu na kuishia majuto.
ndoa haifundishwi, kama ambavyo hukwenda darasa la kutongoza au kuingiza au kuingiziwa shipa (msulu) au sponge tissue ndivyo utakavyo ishi. "Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili", ndivyo biblia inavyosema, kwahiyo usijaribu kuishi naye kwa imani, hapana, ishi naye kwa akili
Mengi ya ukweli mkuu hasa kwenye kuendesha gari. Siku moja nilizidiwa night wife akaendesha kwenda hospital, ilibidi nifunge macho nisione kinachoendelea. (labda ni udhaifu wake tu, sijasema wote ni madereva wabaya)
kwenye kupika sawa lakini kwenye kuchoma nyama nikialika marafiki hilo langu, yeye atasaplai vifaa vya kazi tu. Kuna raha ya kuchoma nyama mkononi na glass ya scotch
na wanaume wanokidhi vigezo ni % ngapi?? Truth be told kwa taarifa tu japo wababa walikuwepo lakini wanawake (mama zetu) ndio waliowezesha wengi wengi wetu hapa tukasoma kwa kuuza mama ntilie na vitumbua na sasa tuna maisha bora na hata tunaweza kubofya hizi Qwerty keybord , na hata sasa bado mwanamke ndiye anayehudumia familia kwa sehemu kubwa. hizo role za wanaume wanawake ndio wanaziplay big time..why? b'se more and more men are becoming irresponsible and some one has to take charge I don't mind mind even if is a woman!!
Just listen to yourself..yani vitu vinavyokupa raha ndo ufanye ww visivyokupa mkeo afanye..na yeye visivyompa raha ?? selfishness huua upendo kabisa!
Mtanzania Imara.......uko juu kidogo ingawaje swala la kuwapunguzia makali hawa wenzetu ndiyo chanzo cha kukutawala...........na hapo ndipo mushkeli huanza........... Mtanzania Imara
Pato2005 hakuna kubembelezana kwenye kubeba majukumu.............kazi ni moja tu....pasipo haki hakuna wajibu ndiyo shimo ambalo umejitumbukiza..........................kwenye ndoa majukumu lazima yawe wazi siyo kubembelezana.................[MENTION]
Pato2005[/MENTION]
Pato2005 hakuna kubembelezana kwenye kubeba majukumu.............kazi ni moja tu....pasipo haki hakuna wajibu ndiyo shimo ambalo umejitumbukiza..........................kwenye ndoa majukumu lazima yawe wazi siyo kubembelezana.................[MENTION]
Pato2005[/MENTION]
Umenikunaaaaaaaa.......tukutane jioni wangu.
Hapo sasa......wabongo hawabebekiii
Sashel...........................be real life is not that easy...................maisha siyo swala la kujisikia tu ila kufanya majukumu kulingana na mgawanyo wa madaraka ulio wazi nu kueleweka na kukubalika kwa jamii................msaada waweza kutolewa pale ambapo mmoja wenu anaumwa tu........................hakuna ajali kazini kwa maana ya kuwa hana kazi atafute kazi zimejaa kila mahali ila watu ni wavivu kujituma.....[MENTION]@Sashel[/MENTION]
Ni kweli ila si wote tutakuwa tunakosea tukiwajumuisha wote,nakubaliana na wewe kwamba wengi ukiwalegezea tu anakupanda kichwani
Ahahhahh..RUta I think you should be realistic, haya uliyosema kama yanafanyika basi ni ktk nchi ya 'kufikirika' maisha ya ndoa ni kusaidiana regardless mwenye jukumu ni mzima au mgonjwa
Ndugu yangu Ruta hapa umenena vyema, manake Dunia ya leo inaangamia kwa binadamu kukosa maharifa na kukiuka maandiko, kwa mfano imeandikwa kwamba alaaniwe yule avaaye nguo zisizo za jinsia yake, lakini je hili linazingatiwa? si ndio mwanzo wa kila jinsia kukiuka majukumu yake kama vile mume kutaka kulishwa na mkewe na mke ktaka kupikiwa na mumewe?definiton ni ya Mungu siyo mimi..................tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye atakutawala.............akianza kutokosa maharagwe huyo tayari umemtawala hana sifa ya to be a real man.....................
MH! sasa huu ni uselfish, mwanaume anayejiamini ni lazima amfundishe mwanamke jinsi ya kujitegemea ili (siombei) bahati mbaya mwanaume anapotangulia, mwanamke anakuwa anajua nini cha kufanya, lakini unapomnyima fursa ya kufanya kazi unamjengea hulka ya kumtegemea mwanaume pale utakapotangulia tu atatafuta mwanaume mwingine yoyote ilimradi mkono ufike kinywani, je mwanaume huyo atakuwa tayari kutengeneza future ya watoto wako au wataishia kuwa ombaomba kutokana na mfumo huo?
By the way, kumsaidia mke baadhi ya kazi za ndani ni ishara ya upendo, hayo ni mawazo yangu
Ndugu yangu Ruta hapa umenena vyema, manake Dunia ya leo inaangamia kwa binadamu kukosa maharifa na kukiuka maandiko, kwa mfano imeandikwa kwamba alaaniwe yule avaaye nguo zisizo za jinsia yake, lakini je hili linazingatiwa? si ndio mwanzo wa kila jinsia kukiuka majukumu yake kama vile mume kutaka kulishwa na mkewe na mke ktaka kupikiwa na mumewe?
labda tungekuwa robots ingeapply lakini kwakuwa sisi ni wanadamu tuko na mapungufu mengi tu na siku zote sio sawa, ndio maana amri kuu ni UPENDO, upendo hufadhili. Since Eve humans strive to find a balance in life but still all we do is blaming someone for our misfortune, we have to learn how to make tradeoffs and be a team. Life has alredy enough challenges and the last place i want to live as in military is in marriage.