Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

Pole sana Ndugu,

Yaani karne ya Ishirini na moja,bado unamawazo hasi kama hayo,nikusaidie kidogo,Mfumo dume umepitwa na wakati,siku hizi ni kusaidiana,pia nina wasiwasi wewe sio mwanandoa,na pengine Uchumi wako ni wa chini sana,maana kuna familia baba ana gari lake,mama na yeye pia ana lake,hadi watoto,fanya tafiti kabla ya kuleta hoja Mkuu,wewe ni mzoefu hapa,Kama wewe ni mwanandoa unasubiri upelekewe maji bafuni labda ni nyumba za uswahili,lakini kuna watu tu bafuni una press(unabonyeza)unachagua unahitaji maji ya moto au baridi.Neno la Mungu lina tuagiza kuwa PENDA wake zetu na sio kutafuta mbinu za kuwatawala.Wewe lazima utafute na wanaharakati wa jinsia(TGNP)Ninawasilisha.
 
Aisee.....

Leo nimecheka kweli!!! Umecombine issues balaa

TIMING hawa wenzetu wametujia juu sana na tusipokaa chonjo hata jukumu la kuzaa watatafuta namna ya kutubebesha..............kwa hiyop inabidi tuwe na muarobaini wetu.....LOL [MENTION]@TIMING[/MENTION]
 

Elisante Yona mfume dume ni matakwa ya Mwenyezi Mungu.................hata uukatae kamwe mwanaumme hatabeba mimba ......sasa hapo mtafanyaje? [MENTION]@Elisante Yona[/MENTION]
 
Namba moja na mbili sisi tunaoshinda vijiweni tutafanyaje?
Kutoka saa 12 asubuhi ,kuingia 12:30 jioni ..

Ruta wewe mkoloni sana

hata mimi mchana sipo nyumbani kwa hiyo haina shida lakini siku hizi kuna ports za kutunzia msosi motomoto................hata wewe FirstLady1 ninavyokuamini kwa busara zako mrindima huoni namna ya kunusuru mahusiano?
[MENTION]@Firstlady1[/MENTION]
 
Namshauri asioe, na kama ana mke ajiandae kumwagiwa maji ya moto siku za karibuni

Yummy yaani usichojua ni kuwa wanawake wa kutumainiwa wanadai haya masharti................na wale wanayoyakataa ndoa zao huyumba mno kama siyo kuishia kwa kadhi kwa kufutiliwa mbali [MENTION]@Yummy[/MENTION]
 

Yaani yummy wanaumme tubebe yetu lakini tusikubali kubeba ya wengineo...........mwanaumme ambaye anakimbilia kubeba ya wanawake ujue huyo hawezi majukumu yake.............
 

Yaani yummy wanaumme tubebe yetu lakini tusikubali kubeba ya wengineo...........mwanaumme ambaye anakimbilia kubeba ya wanawake ujue huyo hawezi majukumu yake.............[MENTION]@Yummy[/MENTION]
 

purple mapenzi ni mgawanyo wa majukumu pia siyo kuvamia hata majukumu ya mwenzio ili kujenga maelewano...........wanaumme wengi siku hizi hawataki hata kufanyakazi kwa madai wameolewa.................tutafika kweli kwa utaniutani huo? [MENTION]@purple[/MENTION]
 

Hata Kipipi sasa kaona mwanga wa Damascus......................[MENTION]@kipipi,@ RGForever[/MENTION]
 
chilubi kwenye ndoa ya kiislamu nani hupaswa kufanya kazi za ndani au hazifanyiki kabisa? [MENTION]@chilubi[/MENTION]
 
Yup..I take them seriously too...

Mr. Silver what about number 8......they are too close home with the one you like......[MENTION]@Mr. Silver[/MENTION]
 
Namba 4 hadi 9 imekaa vizuri. Lakini vipi namba 4 kama utalazimika kuwa kuendeshwa, labda unaumwa?

Ruta nimeelewa vizuri hizi rules zako lakini hiyo ya 4 (asiendeshe gari na wewe ukiwepo) bado siielewi ina maana gani? yani akiendesha na wewe ukiwepo inaleta picha gani?

chakolo ninaomba umsome mito na majibu amekupatia...................asiendesh gari kama wewe uko fiti na sababu ni kuwa asijekuanzakukaribisha mawazo kuwa yeye kashikilia msukani wa familia na wewe kumbe upo kwenye msukani..........[MENTION]chakolo, mito[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:

Mtanzania Imara.......uko juu kidogo ingawaje swala la kuwapunguzia makali hawa wenzetu ndiyo chanzo cha kukutawala...........na hapo ndipo mushkeli huanza............[MENTION]@Mtanzania Imara[/MENTION]
 

Kukotona usichojua ni kuwa majukumu lazima yainishwe nayaelewe.......hakuna ubabaishaji hapo.............mapenzi bila wajibu mapenzi hayo hufa ni sawasawa na mche bila ya maji lazima unyauke..........[MENTION]@Kukotona[/MENTION]
 

Mwana Mtoka pabaya...............usichojua ni kuwa ndoa siyo kufanya utakavyo bali kufanya na kutekeleza majukumu yako upende usipende kwa sababu mwili wako siyo wako tena....[MENTION]@Mwana Mtoka Pabaya[/MENTION]
 

Bramo umebarikiwa na unaona mbali sana....................[MENTION]@bramo[/MENTION]
 
Kwali Rose1980,

Mke wangu mie ni my best friend, siyo beki 3, kibarua wala mjakazi...kama nilimbwata basi mimi nimekuwa overdosed!!

Babu DC!!

Dark City mbona wajihami hivyo................si umlete hapa ajielezee mwenyewe.....................usiwe unajishughulisha na kazi za mkeo kama hongo ya kumdhulumu haki zake nyinginezo.........................be watchful...................[MENTION]@Dark City[/MENTION]
 
Love isn't meant that way.. Inabidi kumwelewesha kwa upole sio kumfind means and ways za kumkomoa..

Pato2005 hakuna kubembelezana kwenye kubeba majukumu.............kazi ni moja tu....pasipo haki hakuna wajibu ndiyo shimo ambalo umejitumbukiza..........................kwenye ndoa majukumu lazima yawe wazi siyo kubembelezana.................[MENTION]@pato2005[/MENTION]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…