Mbinu 10 zinazotumiwa na CCM kulinda madaraka

... huo ni mtazamo wako usioakisi maana halisi ya neno tamaa. Kubadili mbinu za mapambano haijawahi kuwa tamaa! Katafute maana sahihi ya tamaa badala ya porojo! Mwenye tamaa ni yule aliyekabidhiwa jukumu la kutunga sheria na kanuni sawa kwa wote na kuzisimamia kwa haki lakini hataki kufanya hivyo kwa sababu wengine watafaidika au kumnyang'anya madaraka "yake".

Badala yake njia iliyobaki ni ukandamizaji usiozingatia haki. Unapowanyima wengine haki ya kutekeleza majukumu yao ya kikatiba lakini wewe unajifanyia upendavyo kwa kulindwa na dola hapo nani mwenye tamaa?
 
Tamaa ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani matokeo yake sasa Nchi inaongozwa na wabunge ambao siyo chaguo la wapiga kura
 
Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki tokea mwaka 1995
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…