[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kipenzi rafiki akiii unanitafuta ugomviii mm eeeh hunitakiii memaa kabisaa akiiiiCha mdeko Demiss mbona wanisema hivyo, nihurumie, nifichie aibu, aubu ya mwenzio ni aibu yako pia.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Balaaaa dada anguHahahhaahah
Mbona mm rafik yako hutak kunisupriseNdo Maana hata Mimi Sioendi napenda Kama nilivyo....Tena huwa Vingine Vizuri siviweki ili aje ni msuprise!
Nisikuaibishe nn bhn wewe mwenyewe umesema siku tukionana utanikimbia[emoji3][emoji3][emoji3]Usiniaibishe bana chamdeko
Khaaaaa kilichokuchekesha najua ni hiyo my[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mmmh! Umeamua kunianika demiss!Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah
Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa
Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mm nakujua mpaka nikuandikeeemmmh! Umeamua kunianika demiss!
NakaziaNimedhani mbinu sita zitakua hizi
1. Mpe pesa
2.mtumie pesa
3.muhonge pesa
4.mpe hela
5.mtumie hela
6. Muhonge hela
Kama tumeanza kuwindana itakuwa safi sana[emoji4][emoji4][emoji4]Uko mbioni kunasa kwenye rada yangu.....
Ngoja niifanyie uzinduzi halafu utaona moto wakeKama tumeanza kuwindana itakuwa safi sana[emoji4][emoji4][emoji4]
Wacha na mimi ninoe kisu changu[emoji4][emoji4]Ngoja niifanyie uzinduzi halafu utaona moto wake
Wanaume wa Jamiiforum ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?Nimedhani mbinu sita zitakua hizi
1. Mpe pesa
2.mtumie pesa
3.muhonge pesa
4.mpe hela
5.mtumie hela
6. Muhonge hela
Khaaaa, kwa hiyo wataka kuja kunikula kitoweo eehh.Wacha na mimi ninoe kisu changu[emoji4][emoji4]
Mzima lakin?
Naanza na wewe hahaahahaDuuu..mbona umemwaga mchele kwenye kuku wengi sasa....
Sina maana hiyo bhana[emoji23][emoji23]Khaaaa, kwa hiyo wataka kuja kunikula kitoweo eehh.
Nasepa zangu hunikuti kabisa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi sijambo hofu kwako
Sawa.Sina maana hiyo bhana[emoji23][emoji23]
Nilimaanisha naenda panga kikosi changu nikunase mapema.
Me mzima sana
Naja chaaap[emoji574][emoji574][emoji574]Sawa.
Niko alone njoo ninase basi hapa
Njoo tuanzeeeNaanza na wewe hahaahaha