Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Cha mdeko Demiss mbona wanisema hivyo, nihurumie, nifichie aibu, aubu ya mwenzio ni aibu yako pia.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kipenzi rafiki akiii unanitafuta ugomviii mm eeeh hunitakiii memaa kabisaa akiiii
 
Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah

Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa

Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
mmmh! Umeamua kunianika demiss!
 
Nimedhani mbinu sita zitakua hizi


1. Mpe pesa
2.mtumie pesa
3.muhonge pesa
4.mpe hela
5.mtumie hela
6. Muhonge hela
 
Khaaaa, kwa hiyo wataka kuja kunikula kitoweo eehh.

Nasepa zangu hunikuti kabisa[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mimi sijambo hofu kwako
Sina maana hiyo bhana[emoji23][emoji23]
Nilimaanisha naenda panga kikosi changu nikunase mapema.

Me mzima sana
 
Back
Top Bottom