Mbona haufikiNaja chaaap[emoji574][emoji574][emoji574]
hahahaha pole baby shem ni noma
Mimi nikikupiga mistari utachomoa?Duuu..mbona umemwaga mchele kwenye kuku wengi sasa....
Wamefanya nini best?Kama huna pesa huna tu kwanza mademu wa Jf wame.....[emoji87] [emoji23]
Demiss hujazaa ww bado....mind your words.[emoji20]Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah
Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa
Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
Nisamehe basi ila mm kama una sura mbaya akiii sitakDemiss hujazaa ww bado....mind your words.[emoji20]
Ooooh!1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu
2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana nao,kuwa marafiki nao Ila usitangulize tamaa ukishafika fika halo utakua unaweza kuchat nao hadi DM mtazungumza vitu vingi wasome nachukua point .
3.kuwa tofauti,usiige kuwa kama flani,jenga brand yako,uwe na dizaini yako ya kipekee,usiwe harsh katika mazungumzo yako
4.kuwa mtu mwenye mtazamo flank na itikadi kama mwanaume kamili usiebabaika ambae unaweza kumwendesha mwanamke ,jiamini na usijisifusifu hovyo hata kidogo kuhusu wewe wala maisha yako halisi.wafanye watamani kujua zaidi kuhusu wewe
5.jipangilie,usiwe muwazi kilakitu Ila pangilia mambo yako yote yaonekane kama nikweli tupu.usitangulize mambo ya pesa mbele.
6.chagua target yako maalumu ya wanawake unaowataka wafatilie kwa umakini,wasome profile zao na mienendo yao.kishabooom!! jiandae kujilia mizigo lukuki!!
kwaniaba ya wanaaaaaa that's what we call men code.see ya there
haya acha nibaki na sura yangu mbaya [emoji19]Nisamehe basi ila mm kama una sura mbaya akiii sitak
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nitakuwa sisemi tena watu wa sura mbaya mpaka nizaee uncle wakooohaya acha nibaki na sura yangu mbaya [emoji19]
Uje umlete nimuone ukishampataNitakuwa sisemi tena watu wa sura mbaya mpaka nizaee uncle wakooo
Sawaaaa nitamletaa umfundishe u DrUje umlete nimuone ukishampata
[emoji30][emoji30][emoji30]Sawaaaa nitamletaa umfundishe u Dr
Nimeshafukua makabur yakoooo upo hapoooo usikwepe majukumu Dr[emoji30][emoji30][emoji30]
mlete nimfundishe ufundi ujenzi....akiweza kunyanyua tofali ya inch 6 tu inatosha [emoji2][emoji2]