Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Duh! Wengine hatuna bahati ya kupendwa hata kama tungejichetua je? Kwa kisingizio cha hii rangi ya kizungu wanataka wanaume Black bahati mbaya ublack haununuliwi dukani ningenunua na mimi nipendwe.
 
Kama huna pesa huna tu kwanza mademu wa Jf wame.....[emoji87] [emoji23]
 
Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah

Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa

Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
Demiss hujazaa ww bado....mind your words.[emoji20]
 
1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu

2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana nao,kuwa marafiki nao Ila usitangulize tamaa ukishafika fika halo utakua unaweza kuchat nao hadi DM mtazungumza vitu vingi wasome nachukua point .

3.kuwa tofauti,usiige kuwa kama flani,jenga brand yako,uwe na dizaini yako ya kipekee,usiwe harsh katika mazungumzo yako

4.kuwa mtu mwenye mtazamo flank na itikadi kama mwanaume kamili usiebabaika ambae unaweza kumwendesha mwanamke ,jiamini na usijisifusifu hovyo hata kidogo kuhusu wewe wala maisha yako halisi.wafanye watamani kujua zaidi kuhusu wewe

5.jipangilie,usiwe muwazi kilakitu Ila pangilia mambo yako yote yaonekane kama nikweli tupu.usitangulize mambo ya pesa mbele.

6.chagua target yako maalumu ya wanawake unaowataka wafatilie kwa umakini,wasome profile zao na mienendo yao.kishabooom!! jiandae kujilia mizigo lukuki!!


kwaniaba ya wanaaaaaa that's what we call men code.see ya there
Ooooh!
Kumbe mahondaw na Demiss ndio walivyonaswa na wale majamaa zao!!
 
Back
Top Bottom