Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

BT seems like umewashusha vyeo makamanda wakuu kuwa hawawez kutoa ist,wote mahohehae au [emoji23] [emoji23]
sio hivyo mkuu wengine hatuna uwezo wa kuwanunulia IST hawa warembo..mkweche wa baiskeli yenyewe unantushinda
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
Usiniaibishe bana chamdeko
 
Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah

Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa

Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
Cha mdeko Demiss mbona wanisema hivyo, nihurumie, nifichie aibu, aubu ya mwenzio ni aibu yako pia.....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wakishakuona comments zako za kistaarabu mantiki hawa viumbe hawana tatizo, ninao wengi fb, wenye wasap kibao, wanakuja kwangu nami baadhi nawatembelea wa mijini wa vijijini, wengine wanakuomba undugu wengine wenyewe tu kwa hiyari wako tayari kukupa kipuchi, wako hivyo.
 
Back
Top Bottom