Ukipita njia kuu utakuta kila kwenye kamji kuna watu wanapiga dili za mafuta. Zamani treni zilikuwa zinasafirisha mafuta, walikoma. Watu walizivizia porini na kupiga dili.Mimi nawasifu sana wafanyabiashara Tanzania biashara zao zinaenda vizuri kwa kuajiri watu. Ni ngumu biashara kwasababu ya wizi.
Hulka ya mtanzania ni wizi we are not honest at all.
Wamiliki wa shoprite wanasimulia ulimwengu hawajawahi kuona wizi wa ajabu kwenye chain zao zilizotapakaa Africa kama Tanzania.
Yani wafanyakazi wa Shoprite walikuwa wanawaita ndugu zao na marafiki kuja kufanya shopping na kupita bila kulipa. Halafu wakicheleweshewa mshahara wanaandamana.
Bakhresa wanavyomuibia mafuta kwenye matrela yani mibongo halafu mijizi yenyewe mimaskini.
lakini cha ajabu movie za nje zinahusu mauwaji, wizi utapeli, ushoga,Zamani wakina Dude walikuwa wanaonyesha kipindi chao kuhusu utapeli. Nasikia eti polisi wakakikataza kuwa kinafundisha utapeli!!!
Sio wizi, hayo ni maarifa ili kupunguza ukakasi wa maishaNchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk.
Wizi sio lazima pesa, weka wezi wa muda, vitu nk.
Mimi nilichokiona.
Kuna dada alifungua duka la dawa, dogo tu. Binti aliyemuweka akawa anajumua dawa zake na kuziuza. Siku kamkagua begi lake akakuta dawa kibao. Tupeane mbinu.