Mbinu gani umetumia kuachana na uraibu wa kamari aka Kubeti?

Mbinu gani umetumia kuachana na uraibu wa kamari aka Kubeti?

ToniXrated

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
1,134
Reaction score
2,993
Katika miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania.Michezo ya kubashiri aka kamari/kubeti imekuwa ikishika hatamu kwa vijana, kitendo kinachopelekea kuzaliwa kwa waraibu/ walevi wa kamari (gambling addicts). Nina imani humu kuna watu waliokwisha pitia uraibu huu na kufanikiwa kuuacha.

Naomba sasa kufahamu ni njia gani umewahi kuitumia kuweza kuachana na uraibu huu wa kamari?
 
Back
Top Bottom