1. Fanya kazi kwa kiwango ambacho ataona tija yako kiasi aone ugumu kuku replace.
2. Dai mkataba
3. Chukua advance Kwa kujifanya unamatatizo. Yaani kabla mwezi haujafika kati mkope
Sasa mahi km hakuna wa kukupa mtaji je? Watu wanajitolea lwa kukosa replacement ya hiyo kitu.Ukifika mwisho wa mwezi hajakupa stahiki yako
Acha kazi
Dai mshahara
Mimi mambo ya kujitolea ndo nilipiga marufuku ndugu zangu woote
Bora nikupe mtaji ugungue banda la chips
Sasa mtu anajitolea miaka n miakaSasa mahi km hakuna wa kukupa mtaji je? Watu wanajitolea lwa kukosa replacement ya hiyo kitu.
Masai Dada nakuunga mkono kwenye hili. Siku hizi kuna majambazi bila huruma yanatangaza nafasi za kujitolea... mdogo wangu nilimpa mtaji alime vitunguu na ndani ya miaka mitano kajenga jumba la maana.Mimi mambo ya kujitolea ndo nilipiga marufuku ndugu zangu woote
Hii kitu ni kweli, ila sasa hakuna mtaji wa kufungua banda la Matunda.Sasa mtu anajitolea miaka n miaka
Bora ufunguue banda la kuuza matunda
Trust me
Kujitolea bure hupati hata nauli ni ukoloni kuliko wa mtu mweupe
Tuhadithie, ilikuajee?Yalinikuta boc hakunipa mshahara miez 5 zaidi posho ten ten za hapa na pale end the day nilichomfanyia never hawez nisahau kwenye maisha yake na saiv anawalipa watu vizur
Mimi nilishawahi kujitolea miaka 2 ila lengo langu ilikuwa kujifunza biashara kama anayofanya boss ili nikiondoka nikafungue. Nilipiga kazi kama kichaa. Nilikuwa sichagui kazi. Hadi mke wake akinituma kazi nafanya na niko tayari muda wowote. Mshahara siulizi wao ndo huwa wanajishtukia ikiwa imepita hata miezi mitatu. Nilichokuwa ninazingatia ni kuwahudumia wateja kwa viwango vya juu na kuhakikisha hawamfikii boss. Siku ilipofika nikipiga mahesabu ya mshahara na commissions ambazo sijalipwa ni kama 20m. Boss akawa analeta viswahili ila sikuleta tafrani yoyote... kilichotokea ni mimi kuhama na kufungua the same business kisha kuhama na wateja kama 90%. Ilikuwa ni mtikisiko mkubwa.Sasa mtu anajitolea miaka n miaka
Bora ufunguue banda la kuuza matunda
Trust me
Kujitolea bure hupati hata nauli ni ukoloni kuliko wa mtu mweupe
sawa mkuuTuhadithie, ilikuajee?
Baba ake ndo kampeleka😅