Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Matukio ya utekaji bado tishio nchini
Mbinu gani za kisasa zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia, na jinsi gani mbinu hizo zinaweza kusaidia kupunguza matukio haya?
Matukio ya utekaji bado tishio nchini
Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na kugundua wahusika hawa wa "watu wasiojulikana"?
Mbinu gani za kisasa zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia, na jinsi gani mbinu hizo zinaweza kusaidia kupunguza matukio haya?
Shida iko kwenye jamii inapo ombwa msaada, jamani mimi naitwa fulani naombeni msaada watu kimya ama vinginevyoMatukio ya utekaji bado tishio nchini
Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na kugundua wahusika hawa wa "watu wasiojulikana"?
Mbinu gani za kisasa zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia, na jinsi gani mbinu hizo zinaweza kusaidia kupunguza matukio haya?
polisi hawajaamua kufanya kazi maana wanajua kinachoendelea.Matukio ya utekaji bado tishio nchini
Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na kugundua wahusika hawa wa "watu wasiojulikana"?
Mbinu gani za kisasa zinaweza kutumika kubaini watu wasiojulikana wanaotekeleza uhalifu wa utekaji na uuaji wa raia, na jinsi gani mbinu hizo zinaweza kusaidia kupunguza matukio haya?
Kama ndiyo hivyo Watekaji wanajulikana lakini hawatakiwi wajulikanepolisi hawajaamua kufanya kazi maana wanajua kinachoendelea.
Polisi wakiamua kufanya kazi watawakamata dakika 0. Wewe kumbuka alivyouawa kamanda sijui baro kule mwanza polisi walivyogeuza mji juu chini ndani ya siku 1 waliwakamata wauaji na kujua kuwa silaha na simu silitupwa kwenye septic na wakavipata.
Hawa wangekuja na gari la mwendokasi maana ndo zina milango mikubwa lakini huu wa raum hata mimi siingii
Suluhisho ni hizi hapa
Hii inafaa nawewe uwe na silaha kwende eneo la tukio kwasababu wakikuua ndiyo mwisho wa maisha yakoSuluhisho ni hizi hapa
1. GPS Microchip
2. Hidden body camera preferably 'WOLFCOM Commander Camera' ambayo ina live streaming
Wakati wanakuvamia, purukushani, kukufunga kitambaa, kukitishia na bastola na sauti zao zinakuwa zinarushwa hewani kwenye mtandao ambao utakuwa umeuamrisha kupokea (facebook, X-twitter, tik-tok au telegram).
Hata wakija kubaini una kitu kisicho cha kawaida mwilini ama wakuue au kukuachia wakiwa wamekuchakaza kisha wakaharibu kifaa hicho itakuwa ni kazi bure kile kinarusha tukio 'through real-time streaming'.
Wakosoaji wote au watu wote wanaohisi wana maadui wanaotamani kunyang'anya uhai wako tumia kifaa hicho utakuja kurudi hapa kushukuru.
Ni lazima kuhama enzi ya kupiga kelele na kutegemea kupaziwa sauti na baadhi ya watu jasiri ambao nao wanaweka rehani uhai wao.
View attachment 3168279View attachment 3168280
View attachment 3168288Chomeka kwenye culture yako mkononi au ishonee kama kifungo
Main Features:
- Up to 15-hour battery life (Depending on settings and features used)
- 64GB of Memory (Enough to store up to 18 hours of video)
- 1080p High-Resolution recording
- 140-Degree Wide-Angle lens
- 360-Degree Durable Metallic Clip
- IPX Rating 68
- Android Operating System
- 4G/LTE connectivity
- Live Stream-enabled
- Real-Time location tracking
- Push To Talk (PTT) communication
- SOS Emergency
- Activation Triggers
- Double Tap Recording
- Pre-Record Mode
- Post-Record
- WIFI
- Bluetooth
- Built-in Geotag stamps Date, Time, and GPS coordinates onto every video and photo files
- Ability to Stamp an Officers Badge number onto Video and Photos
- Battery indicator on LCD screen
- Vibration confirmation and low-battery alert
- Simultaneous Photo taking during video recording
- Programmable Automatic Built-in Night-Vision
- Programmable Public Awareness Light
Ni lazima mmojawapo ajitose hata akiuwawa lakini atakuwa amesadia sana kuwaweka hadharani duniani kote watekaji, watesaji na wauwaji maana inarekodi na kurusha mtandaoni kama tukio halisi na watu wataipata wengine watapakua na kumwaga siri hiyo kwenye umma.Hii inafaa nawewe uwe na silaha kwende eneo la tukio kwasababu wakikuua ndiyo mwisho wa maisha yako
Hii ndiyo mbinu pekee ya kuwadhibiti kwa mwananchi mnyonge. Ila kama una mguu wa kuku, ni kuwamimina tu.