Mbinu hatari za Nabi, Kocha wa Yanga

Mbinu hatari za Nabi, Kocha wa Yanga

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Nabi Ball Nabi Tactics.

* Yanga iliingia na system ya 4-2-3-1 ,wakati iliingia na system ya 4-4-2 .

* Kwenye 4-2-3-1 Yanga wali win kwenye eneo la kiungo kwasababu 4-2 ya Coastal Union ilishindwa kuipress vizuri Yanga kuanzia Katikati mwa uwanja na mbaya zaidi Coastal Walishindwa kuweka pressure kwenye Miguu ya Fei Toto.

* Kitendo cha Coast union kushindwa kuweka pressure kwa Fei Toto kikaifanya Yanga kupata foward pass nyingi kwenye eneo hilo na breaking line pass ambazo zikawa tatizo kwa Coast Union angalia pasi ya Fei Toto kwa Moloko iliuvunja mstari wa Katikati mwa na mstari wa mwisho wa back four na kusababisha goli.

* Kitendo cha Nabi Kuanza na wachezaji wanaokimbia pembeni(Athletic Players) kilimaanisha kuwa anataka kasi pembeni ya uwanja kwa ajili ya kupasua mstari wa mabaeki nne wa Caostal Union.

* Plan hiyo kipindi cha Kwanza ilifanikiwa kwasababu ya mikimbio ya Moloko na Morrison kwenye flanks zote.

* Makambo kama muda mwingi angekuwa hana mikimbio nje ya boski huenda angefaida na plan ya Yanga kupita pembeni.

* Baada ya Nabi Kugundua hilo akamuingiza Mayele ambaye alienda kuweka pressure kwa half backs wawili wa Coast Union Muda mwingi wa mchezo na mwisho siku kufunga goli.

* Coast Union plan yao ya kukaa nyuma ya mpira dhidi ya Nabi ball ilishindwa ku work out kwasababu Yanga waliufungua uwanja pembeni.

Note.

* Feisal leo ame dictate sana mechi katikati mwa uwanja.what a player[emoji119].

* Mshery Somo kwa makipa wa Kibongo kazi ya kipa sio kudaka tu,makipa wa kisasa ni washambuliaji wannahusika katikati kuanzisha mashambukizi

* Yanga wanacheza mechi ya 39 ya ligi Tanzania Bara bila kufungwa.wha a team[emoji119]

* Coastal kwasasa ni vibonde wa Yanga mechi tatu zote za ligi hivi karibuni wamefungwa magoli saba na kupoteza alama 9.

Credit: Omar Kombo
 
Ratiba iliwabana Sana yanga na mechi hizi nafikiri zilipangwa makusudi ili kuwabeba wagonjwa fulani hivi ambao wao wanacheza mechi 3 mfululizo za mwanzo taifa, ili wapate muunganiko kabla awajaenda kwenye viwanja vigumu vya mikoani, lakini kutokana na ubora wa yanga katoboa mechi zote 2 ngumu ugenini, kamaliza mechi ya mtani jumamosi jumatatu kasafiri, jumanne kacheza mechi, jumamosi tena amecheza yaani mechi 3 ndani ya siku 7!! Simba wao wamekaa tu dar bila kusafiri niwapongeza yanga wameshinda mtego wa kwanza point zote 6 wameweka kibindoni
 
Mbinu hii ya kuwapangia ratiba ngumu Yanga na wapinzani wanaocheza na Makolo ilikuwapunguza nguvu ilitumika miaka miwili ya mwanzo ya ubingwa wao wa miaka 4 mfululizo.
 
Utopolo mna shida sana .Naamini katika kauli ya Manara uto wenye akili wapo wawili tu.
 
Ratiba iliwabana Sana yanga na mechi hizi nafikiri zilipangwa makusudi ili kuwabeba wagonjwa fulani hivi ambao wao wanacheza mechi 3 mfululizo za mwanzo taifa, ili wapate muunganiko kabla awajaenda kwenye viwanja vigumu vya mikoani, lakini kutokana na ubora wa yanga katoboa mechi zote 2 ngumu ugenini, kamaliza mechi ya mtani jumamosi jumatatu kasafiri, jumanne kacheza mechi, jumamosi tena amecheza yaani mechi 3 ndani ya siku 7!! Simba wao wamekaa tu dar bila kusafiri niwapongeza yanga wameshinda mtego wa kwanza point zote 6 wameweka kibindoni
As long as we ndo umeandika haya malalamiko hayana maana kwasababu kwenu wenye akili tunaowafahamu ni wawili tu
 
Mbinu hii ya kuwapangia ratiba ngumu Yanga na wapinzani wanaocheza na Makolo ilikuwapunguza nguvu ilitumika miaka miwili ya mwanzo ya ubingwa wao wa miaka 4 mfululizo.
Na ile ya wakuu wa mikoa ambao ni mashabiki wa yanga kutoa ahadi ya million 10 kwa team itakayoifunga simba mwaka Jana mbona hamkupiga kelele nyie mshazoea kujinyea endeleeni hvyo hvyo.
 
Back
Top Bottom