Mbinu na mikakati ya Nabi, Yanga yaikanda kama ngano Rivers United nyumbani kwao

Mbinu na mikakati ya Nabi, Yanga yaikanda kama ngano Rivers United nyumbani kwao

Zote zipo group moja la starehe, kwani wewe kati Simba na mkeo unamchagua nani.

Au ndio wae wake zao wanawaweka bond timu ikipigwa.

Wewe mke wangu kwanza... uwezi kufananisha malkia wangu na mambo ya kijinga
 
Yanga wakiwa hawana mpira shape yao ilikuwa 5-3-2 ,lengo la kwanza lilikuwa ni kuwa na vitendo vingi vya kiulinzi(defensive actions) kwenye idara ya kiungo na ulinzi(zone A na B).

Ile pembetatu ya Mudathir, Bangala, na Farid Musa ilikuwa muhimu sana kwenye kipindi cha kujilinda na kushambulia. Shape hiyo ya pembetatu ilikuwa haipotei kabisa kwenye vipindi vyote.(attacking & defending).

Licha ya kipindi cha kwanza Yanga kupata baadhi ya nafasi lakini hawakuwa na namba kubwa ya wachezaji ambao wangeweza kui overloads idara ya ulinzi ya Rivers United.

Kipindi Cha pili

Nabi aliamua kubadili system,akaamua kuweka wacheza ambao ni runners (Kisinda na Moloko) kwa ajili ya kuupanua uwanja kwenye upande wa kulia na kushoto ( left channel & light channel).

Mabadiliko haya yalikuwa ya kiufundi kwasababu Yanga kwenye zone ya ushambuliaji wakatengeneza shape ya 3-2(Mayele, Aziz,Kisinda, Moloko, na Mudathiri), plan hii ilifanikiwa kwasababu Yanga waliongeza namba ya Wachezaji na kuongeza vitendo vya kiushambuliaji (offensive actions).

Kitendo cha Rivers United kuwa more offensive kikasababisha kuacha space nyingi kwenye mistari yao miwili.(fisrt & second line). Hapa ndio ile threat ya Yanga kuwa na runners ikazaa matunda na kupata magoli.

NB: Mwamnyeto anapiga pasi anakaba na anafanya joining kwenye build up ya Yanga.

Moloko ni pressing machine kweli kweli,what a counter attacks creator.

Aziz Ki passing vision yake ni hatari.View attachment 2597692

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kumbe kukanda Raha eeh! Na kukandwa itakuwa karaha
 
Back
Top Bottom