Elections 2010 Mbinu na uwezo wa Dr Slaa washuka

Elections 2010 Mbinu na uwezo wa Dr Slaa washuka

Basic Information
Statistics
Total Posts

Total Posts
30

Posts Per Day
30

Total Thanks

Total Thanks
2

* Thanked 1 Time in 1 Post

General Information

Last Activity
Today 04:01 PM

Join Date
24th September 2010

huyu anayejiita Jeykey wa ukweli nahisi tangu aamke yeye macho ni kwenye screen tu.
 
Hahaaa!!!! umefurahisha sana
 
Huyu jamaa anaejiita jaykeywaukweli itakuwa yupo chadema mbona anakua kama mshumaa hv anauma wakati anatuharibia ccm bwana
ccm yeeeeeh
 
Katika kuelekea uchaguzi wa October 31, Uwezo wa DR slaa kuimiri mikiki mikiki ya kampeni inapungua hii ni baada ya kukatisha kampeni zake JANa (23/09/2010) kurudi Dar kwa mapunziko

Magazeti ya leo yamereport kuwa amakuja kwa kikao cha kamati kuu, Kwanini kamati kuu sasa wakati wa kampeni?

Nina wasiwasi na Dr Slaa uenda kaishiwa HOJA

Aka Malaria Sugu.... crap, mediocrity, headless, useless, what can I say?
 
Katika kuelekea uchaguzi wa October 31, Uwezo wa DR slaa kuimiri mikiki mikiki ya kampeni inapungua hii ni baada ya kukatisha kampeni zake JANa (23/09/2010) kurudi Dar kwa mapunziko

Magazeti ya leo yamereport kuwa amakuja kwa kikao cha kamati kuu, Kwanini kamati kuu sasa wakati wa kampeni?

Nina wasiwasi na Dr Slaa uenda kaishiwa HOJA

Wewe ni pepo!! Umetumwa kuja JFR. Tunakuamuru utoke!! Tena toka katika jina la..........(Dr). Toka, beba vilivyo vyako usepe!!!. Kamwambie aliyekutuma kuwa wale watu wa ile jumuia hawadanganyiki!!
 
ha ha ha ha ha hawa ni wana JF wapya waliojiunga baada ya Raia mwema kutoa takwimu, ha ha ha - you can make fool some people for some time but you can not fool them all the time

Ni kweli kabisa mwanangu,maana tangu gazeti litoe matokeo ya kura za hapa JF wamejiunga watu kibao na wote wanapiga kura kwa JK.Inamaanisha wamejiunga ili waje jupandisha asilimia za mheshimiwa.
 
ha ha ha ha ha hawa ni wana JF wapya waliojiunga baada ya Raia mwema kutoa takwimu, ha ha ha - you can make fool some people for some time but you can not fool them all the time

Nimelazimika ku-take note of the votes ili nione ni wangapi wapya wamempigia nani, hadi sasa inaonekana kuna kimbilio la kina JK kujisajili na kumpigia kura. Kuna mawili hapa ama wanajiandikisha kwa majina mengine na kupiga kura au ni kweli kuna ambao hawakuwa na habari ya kupiga kura JF kwa hivyo wakaona nao watumie haki yao. Kwa vyovyote karibu, 31 October ni kila mtu na kura yake
 
Dah! Invisible ana kazi maana kusema ukweli post 30 za huyu jamaa! Kila post watu karibu wote wanamlalamikia! Lakini mungu kamjalia invisible roho ya uvumilivu! Maana likatokea zali rev. Masa au mwafrika wakapewa rungu la umod huyu jamaa asingefikisha post hata 5. Na wengine kadhaa wangekula server ban!
 
kumbe mkuu ulijua yatatokea

wabunge wake wote wa chadema wanapumlia machine maana kila uongozi wamekosa
 
Back
Top Bottom