IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Mambo vipi wakuu,
Twende kwenye mada direct, wiki chache zilizopita mchepuko wangu, nilimchana ukweli Kwamba Mimi Nina mke, isipokua toka niludi kutoka nchi jirani simuelewi kabisa ajanipokea kwa furaha (Ntaleta kisa cha wife)
Na siku niliorudi uyu mchepuko alinifata stendi na kuniambia alinimiss sana alikuja nipokea.
Na nina kumbuka aliniuliza ahadi yake atimize nikajifanya kusahau alinipa ahadi Kwamba nikirudi tu atanichinjia kuku kutokana na Mimi kujifanya kusahau na yeye akapotezea.
Tulikula pamoja lakini atukulala pamoja japo alitaka Sana Ila mi nilikataa kwa kumfikiria wife home. Ila nilikuja kupiga mbususu siku za mbele fresh. Sasa bana akawa anataka Sana kuja home sababu anapajua, uyu mchepuko kuna muda aliwai fika wakati wife Yuko far.
Nikaona hii hatar kuna siku alifika home uzuri wife alikua kwenye biashara zake na ndani akauingia. Nikaona nimpe ukweli kwenye simu ikawa kosa siku iyo akani sema Sana kwa kusema watu wapole wahuni Sana ndio tabia zenu kuanzia Leo futa namba yangu na Kwanza naweza kuja sasa ivi kukuletea noma mbele ya mkeo nikawa mpole tu.
Akasema futa namba yangu na yako nafuta na staki unitafute tena, Sijui mpoje nyinyi wanaume kifupi aliropoka mengi. Ukawa mwisho.
Mzee baba namba sikufuta na hata yeye yangu hakufuta alibaki nayo na nilikua namuona watsap akipost status.
Sasa juz Kati nilienda sehem flani kupiga kazi yeye anakatisha tiketi stend so tulipita hapo mi na wenzangu aliniona alinisalimu na nilimwambia ninakokwenda.
Atukua na mengi sasa uko job niliumia mkono na siku narudi aliniona na alifahamu vizuri sababu nilimwambia.
Atukuwasialiana tena mim mkonoo ulikaa fresh na maisha mengne yaka endelea.
Sasa hapa kati nilimkumbuka Sana mchepuko kutokana na Mambo ya wife kua fake fake. Sasa nikaamua nifanye hivi sababu kila leo lazma nimuone status akijifotoa na kuzipost picha na yeye pia hua anachungulia zangu japo mi siweki kila siku na wala sio za madongo.
Nikawaza anarudi vipi uyu maana nikimpigia anakua mkali. Nikaenda play store nikapakua app ya video maker Ile ambayo unaweka picha kisha audio alafu nyimbo zina play pamoja na picha moja baada ya moja.
Nilienda Google pia nikachukua picha zile za uzuni mfano sad boy crie about love nikakusanya Nika mix hapo.
Nikachukua nyimbo ya konde boy Ile mwishon anaimba hivi (wa kumove on nitakua Mie ohoo siwezi). Nikaweka picha zake na kuweka kile kipande cha sekunde 30 kukimbizana na kanuni za status.
Then nikachukua nyimbo ya mboso
Limevuja tena na pc zake kipande hiki
(lile penzi tulivuuu leo lipo kikaangoni imeniponza huruma kilungi kujitwisha kumsaidia kumbe katoboa mtungi maji yana nimwagikia) fresh
Nikachukua nyimbo ya diamond mawazo na picha zake tena, kipande cha nyimbo hiki hapa. (Utu wangu Una thamani ina mana kweli akunijua licha ya burudani na mapenzi yangu akatimua, ningekua na uwezo ningekunywa ata pombe mi nipunguze mawazo nikamaliza)
Nikachukua nyimbo ya jux sio mbaya
Kipande hiki (Najua kuna vingi we usemi kwako mim sio mbaya nielezee endapo utanimiss just call me kwako mim sio)
Nikamaliza
Hizo Nyimbo Ile sehemu ya add captions. Nyimbo ya diamond nikaweka tatizo sinywi pombe
Nyimbo ya mboso nikaweka lile penzi tulivuuu. Nyimbo ya konde boy nikaweka ohoo siwezi. Jux nikaweka ukinimiss just call me
Nikacheki mpangilio kila kitu kipo Sawa sasa imebaki kupost nikajiuliza Sana mwisho Nikaona liwaloo na liwee.
Nikapost boom nione mtego uta nasa? japo niliamini kabisa achomoki na kama atachomoka basi sina mbinu nyingine nijpange upya.
Nikatulia hapo nilikua napiga pepsi baridi taratibu nikicheki soka ki grocery flani. Aijapita nusu saa simu inaita kucheki mpigaji ndio yeye wao nikajiuliza mbinu ya kininja imefanya kazi nini?
Nikapokea anaongea sauti ya upole tukasalimiana vizuri alafu nikamwambia za uko so..... Akaulizia kwani we uko wapi?
Nikamjibu Niko ikonda njombe hospital
Akauliza shida nini nikamwambia si ule mkono bado auko Sawa (ukweli nilikua hapo hapo na nilijua ikitokea Mambo yatakaa Sawa kwa muda huo atataka tuonane ndio nikamwambia Niko mbali uko kusudi tu).
Yeye ohoo jamani mpaka leo hujapona
Mimi bado sijapona nauguz mkono huu
Yeye nilijua kawaida tu kumbe uliumia Sana
Na kwanini usitibiwe hapa. Mimi nikamwambia hapa ilishindikana nikapewa barua nije ikonda kuna vifaa maalumu vya kunyosha mkono (aisee). Yeye du pole simu ikakata
Cha Kwanza nikacheki Ile status yess
Nikaona Ka view so Mambo ✓✓✓
Akatuma text pole mpenzi wangu nikajibu asante. Akawa anapiga wasap call Ila akaacha alafu akasema tuma picha ya mkono, ukawa tena mtihani huu bahat nzuri nilivyoagiza Ile pepsi nilipewa na tishu.
So nikachukua Ile tishu nikaiviriga mkononi vizuri kwa umakini nikapiga selfie nayo kwa umakini asije shtuka
Nikatuma Ile picha dadadeki akasema mhm pole
Yeye nije nikuone du nikaona hapa ntaumbuka, kuja hapa njombe ni kuamua tu anakuja nikataka mwambia utatumia tu gharama kubwa usije, nikasita sababu kama ni usafiri gari anapanda bule anakuja so nikamwambia hapana izo pole zinatosha Sana, na huku namalizia siku kama tatu hivi narudi akasema poa ukirudi nicheki wangu nikamwambia poa jioni njema akasema poa ugua pole. Hapa Mambo yakawa poa bin Safi
Nikatoka pale nilipokuepo nikaenda pub flani kucheki mechi ya spurs na Arsenal nikiwa pale kipindi cha pili simu ikaita kucheki yeye.
Na nilikua kwa nje tu na wateja wengine hapa nikapata wasi wasi au kaniona nae yupo hapa zile picha nilituma na nguo zilionekana sasa je?
Nikatoka nduki mpaka kwenye uchochoro nikachunguza sijamuona nikapokea tukaongea nikapata uhakika yupo kwake du sasa hapa ndio tuliongea dakika 30 kasoro sekunde tu mpaka ball ikaisha ukweli aliniboa baadae tukaagana akaniuliza vipi umekula mpenz nikamwambia sio mda naenda kula unakula nini na kama hauna pesa nikutumie nikamwambia chochote ntakula usiwaze pesa nnayo.
Nikamwambia lakini kuna siku nimekutext umenilia gundi akasema bana usinikumbushe machungu hebu pona Kwanza mkono urudi wangu, nikamwambia poa mungu atasaidia ntakaa Sawa soon tukaagana.
So kilichobaki ni kusubiri siku tatu zipite alafu nitoe taarifa narudi au nimerudi bila kusahau kitendea kazi cha uongo klip bandage nisisahau kufunga mkono ili pawe na uhalisia.