Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

kufunga unlimeted data subscription nyumbani ni njia bora zaidi ya kujenga isolation na kutengeneza makazi ya misukule kila mmoja na ulimwengu wake.

hapo mnaweza kukuta week inakatika mzungumzi ikumbukwe verbal interaction ni msingi wa kujenga familia bora yenye umoja na mshikadano.

sasa data unlimited kila mtu na smartphoni huyu anakula huku yuko na smartphone yule chumbani kajifungia anaperuzi sites za ngono ajilipue, yule yuko chooni anakuny.a huku yuko na simu kila mtu anakua busy na simu.

Mtoto akipatwa na jambo chakwanza ni kupost status mzazi anakuja kuona "hee kumbe umepatwa na tatizo" mtoto yuko karibu na simu kuliko wazazi, mke anaburudishwa na wanaume mitandaoni mume anasaka utelezi mda wote mtandaoni hakuna mwenye muda na mwenzake data si unlimited bwana.
UPUUZI.
 
Ving'amuzi kama DSTV tunawezaje kuaccess kwa kutumia internet? Badala ya kulipia kifurushi?
unaweza kupata dstv,azam na channels karibia zote duniani kama unajua kuset stbemu/stalker portals codes. siwezi kuweka info zaidi wanangu bado wadogo.
 

Attachments

  • Screenshot_20240222-203130.png
    Screenshot_20240222-203130.png
    800.5 KB · Views: 20
  • Screenshot_20240222-203040.png
    Screenshot_20240222-203040.png
    1.3 MB · Views: 24
  • Screenshot_20240222-203316~2.png
    Screenshot_20240222-203316~2.png
    203.3 KB · Views: 24
  • Screenshot_20240222-203644~2.png
    Screenshot_20240222-203644~2.png
    243 KB · Views: 23
  • Screenshot_20240222-203146.png
    Screenshot_20240222-203146.png
    888.9 KB · Views: 22
Back
Top Bottom