Alichofanya harmonize sa hivi ni kukusanya wale hater wa Diamond ndo kua mafans wake,kuanzia media zisizompenda,watu wasompenda,wasanii wasompenda Diamond na watu wenye wivu ulopitiliza.Na ndo Mana wanamsapoti kwa nguvu konde (kukomoa stile).
Ila wanatumia gharama kubwa Sana pasi na faida yoyote,na hata support Yao ni pale tu anavyotoka ktk event ya Media zao na Baada ya hapo kila mtu hushika njia yake.
Tena dogo sa hivi anapiga show za bure hasa za E-fm mradi aonekane hajatetereka(wanamtumia ili aendele kupromotiwa bila kujijua)
In short kakutana na wajanja wa mjini watamtumia wata muacha,no wonders sifa mnazo mpa ndo hizo hizo mmetumia kwa kina kina,aslay,Barnabas na wengine kibao Ila maslahi hakuna na hata wao wakijakuona wametimiza lengo lao watashika njia tu kumuacha njia panda.
Konde boy kwa hela alopiga WCB kwa muda mchache mpaka kujidai analipa Deni,hatokaa apige Tena.
Mondi aliwajengea msingi mkubwa Sana wa kulipwa maslahi mazuri Zaid ya maelezo na ndo mana wote walichange maisha Yao kwa mud mchache.
Hivi unaweza kumlinganiah
aslay na mboso kimaslahi?
unaweza mlingnisha Rayvany na Barnabas kimaslahi?
unaweza mlinganisha Harmonize na Ali kiba kimaslahi?
Jibu ni kwamba WCB ni watu serious Sana ktk suala la Sanaa ya music(Media nyngi hazipigi music yao lakini bado wapo juu mwaka watatu huu mfululizo yangu waache kabisa.
Wana watu wenye ujuzi na vitengo vyao vyotevinajua vifanye nn kwa wakati gani.
In Short hili game wameliteka na wanafanya watakavyo na ndo hapo chuki Zina wapata wasowapenda.
So wakikutana na mtu kama harmonize ametoka huko bila aibu wanambeba na kumng'ang'ania ili tu wajifariji nafsi zao(NAMBA WANAISOMA HASWAA),
Tena wanatamani hata harmonize asiseme ni Nani kamtoa na kamsimamia mpaka alipofika(Hili tumewaona Sana kwa Majizo na E-fm yake kiasi wakaona waondoe hata baazi ya maneno ktk nyimbo za harmonize zinazomtaja Diamond😅😅).
Ukweli no kua
WCB VIJANA WANAPIGA KAZI HASWAA.
WANATEAM YA WATU WALOSOMA HASWAA.
WANAJUA WATU WANATAKA NN NA KWA WAKATI GANI KISHA WANAKILETA KAMA KILIVYO.
WCB NI CHUO NA MWIBA KWA MABWANYENYE WOTE WA MUSIC YA TZ
ROHO ZINAWAUMA HAWANA LA KUFANYA TU ZAID YA DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.